Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
WP:KWC
Mstari 1: Mstari 1:
{{kwc-main-langs}}
{{kwc-main-langs}}


Sisi kupanga mradi au huduma kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Kenya ili waelimishwe kuandika makala kwenye [[Wikipedia ya Kiswahili]]. Kumbe!
''Ndo unaanza? : Tazama ukurasa wa [[Wikipedia talk:Kiswahili Wikipedia Challenge|majadiliano.]] '' ''Pia,mengi kuhusu mradi hapa: http://www.google.com/events/kiswahili-wiki/''


* For a description in English, visit '''[[Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/en|this page]]'''.
* Kwa maelezo katika Kiswahili, soma [[Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge|ukurasa huu]].


'''Ndo unaanza?''' : Tazama ukurasa wa [[Wikipedia talk:Kiswahili Wikipedia Challenge|majadiliano.]]
Nimepata mawasiliano kutoka kwa Christine Moon, huko Palo Alto, California. Yeye anafanya kazi katika Shirika la Google, nao wameanza kupanga Mradi au huduma kwa ajili ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini Tanzania na Kenya ili waelimishwe kuandika makala kwenye [[Wikipedia ya Kiswahili.]] Kumbe!
Pia, mengi kuhusu mradi hapa: http://www.google.com/events/kiswahili-wiki/





Pitio la 02:41, 24 Desemba 2009

Kiswahili Wikipedia Challenge:   Kiswahili  ·  English

Sisi kupanga mradi au huduma kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Kenya ili waelimishwe kuandika makala kwenye Wikipedia ya Kiswahili. Kumbe!

Ndo unaanza? : Tazama ukurasa wa majadiliano. Pia, mengi kuhusu mradi hapa: http://www.google.com/events/kiswahili-wiki/


Washindi wa Muda wa Tuzo Wametangazwa

Pongezi kwa washindi wafuatao:


  • JKUAT - Limoke Oscar (Limoke oscar)
  • Strathmore University - Marko ekisa (Ivermac)
  • Chuo Kikuu cha Nairobi - Peter Kamero (Kamero)
  • IFM - Janeth Jonathan (Janeth J Jonathan)

Kumbuka, tarehe ya mwisho ya tuzo la muda lijalo ni tarehe 4 Januari! Heri na fanaka!


Mfano wa makala-orodha ya hukumu

kutoka Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions



Schools

Makala na wanafunzi wa Wikipedia.


Others

For a full list of individuals, see Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions/All.

Specific independent groups:


Sheria na miongozo

Mwenendo

  • Hakuna kudaganya. Watu ambao watakiuka sheria wataondolewa kutoka mashindano.
  • Kuacha maswali kuhusu mashindano kwenye ukurasa wa majadiliano


Kupata alama

  • Tafuta kichwa cha makala unayotaka kuandika kuhusu kabla ya kuanza. Makala yakurudiwa hayatapokea alama.
  • Iwapo zaidi ya mtu mmoja watachangia kwa kiasi kikubwa kuhusu makala, alama zitagawanyishwa baina yao.
  • Iwapo utaboresha makala ya mbegu, utatunukiwa alama sawa na kama vile umeandika makala mapya.


Kusahihishwa

  • Hapa kuna makala sampuli yenye thamani ya pointi 0.5, 1, 2, na 3 .
    • Hapa ni makala yenye thamani kubwa (karibu na makala yakuchapishwa. pointi 10?): Malaria
  • Kama washiriki wawili hawakubaliani kuhusu makala ...
  • Mahala pa kujadili maswali kuhusiana na usahihisho ...


Washiriki

Kuna aina mbili ya washiriki: watu binafsi na vyuo vikuu. Timu za vyuo vikuu zinajumulisha wanafunzi wote kutoka chuo kikuu ambao wanashiriki. Kuna orodha ya mwisho ya wanafunzi washiriki ambayo inapelekwa kwa Google off-wiki, ambayo itatumika kuhakikisha timu.