Bamba la Uarabuni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 14: Mstari 14:
[[Category:Asia]]
[[Category:Asia]]
{{jaribio}}
{{jaribio}}

[[enArabian Plate]]


[[de:Arabische Platte]]
[[de:Arabische Platte]]

Pitio la 14:06, 9 Februari 2007

Bamba la Uarabuni (njano) kati ya mabamba gandunia ya dunia yetu

Bamba la Uarabuni ni kati ya mabamba madogo ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya rasi la Uarabuni hadi Uturuki na tako la bara.

Bamba limepakana na

Bamba la Uarabuni lilikuwa sehemu ya bamba la Afrika hadi kuachana nalo takriban miaka milioni 30 iliyopita. Lina mwendo wa polpole kuelekea Uturuki - Ulaya.

Makala hiyo kuhusu "Bamba la Uarabuni" inatumia neno ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.