Mtumiaji:Muddyb : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 41: Mstari 41:
Muddyb nilijiunga rasmi na Wikipedia mnamo tar. [[18 Agosti]] mwaka 2007, nimenuiya kuendeleza mradi huu wa wiki na nitaendelea mpaka sijui lini yaani. Toka kipindi hicho nilichoingia hapa nimetoa michango yangu kadhaa. Zaidi na zaidi, nachangia makala za kuhusiana na [[filamu]] na [[muziki]]! Na mara chache ushiriki kwenye makala za miji na watu mashuhuri na wenye historia maridhawa duniani. Hebu soma hapo chini upate kujua nimehariri mara ngapi na kuendelea:
Muddyb nilijiunga rasmi na Wikipedia mnamo tar. [[18 Agosti]] mwaka 2007, nimenuiya kuendeleza mradi huu wa wiki na nitaendelea mpaka sijui lini yaani. Toka kipindi hicho nilichoingia hapa nimetoa michango yangu kadhaa. Zaidi na zaidi, nachangia makala za kuhusiana na [[filamu]] na [[muziki]]! Na mara chache ushiriki kwenye makala za miji na watu mashuhuri na wenye historia maridhawa duniani. Hebu soma hapo chini upate kujua nimehariri mara ngapi na kuendelea:


*Hadi sasa nimehariri mara '''8,101+'''
*Hadi sasa nimehariri mara '''11,247+'''
*Pia unaweza kuangalia michango yangu endelevu kwa kukong'oli hapo chini:
*Pia unaweza kuangalia michango yangu endelevu kwa kukong'oli hapo chini:



Pitio la 07:05, 16 Desemba 2009

Muddyb Blast Producer
Muddyb Blast nikiwa kwenye pozi!
Muddyb Blast nikiwa kwenye pozi!
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Mohammed George
Pia anajulikana kama Muddyb
Blast Mnyamwanga
Mwanaharakati
Amezaliwa 25 Aprili 1983 (1983-04-25) (umri 40)
Asili yake Kiwalani, Dar es Salaam
Tanzania
Aina ya muziki Hip hop
Bongo Flava
Kazi yake Mtayarishaji wa rekodi
Mwanaharakati
MwanaWikipedia
Ala Synthesizer
Miaka ya kazi 2004 - hadi leo
Studio Mitaa ya Kati Records
Tovuti Kwangu

Mohammed George au Muddyb Blast Producer (nimezaliwa tar. 25 Aprili, 1983) ni mwanaharakati wa kweli wa Wikipedia, niliyejitolea kuendeleza kamusi elezo huru ya Kiswahili kwa muda usiojulikana lini nitaacha kuchangia makala katika kamusi elezo hii ya Kiswahili. Ni mda sasa toka nijiunge na wikipedia ya Kiswahili, na nimekuwa nikifanya doria za hapa na pale katika wiki hii ya Kiswahili.

Wasifu

Maisha ya Awali

Nimezaliwa na kukulia Dar es Salaam, Tanzania. Baba yangu ni mtu wa Tanga (kabila lake Mzigua), na mama yangu mtu wa Kilwa, Lindi (Myao). Nimesoma na kumalizia elimu yangu yote Dar es Salaam kwa wajanja Tanzania.

Vilevile mimi ni mmoja wa wapenzi wa muziki na filamu duniani hakuna, ukibisha yauri yako lakini mie ndiyo nasonga mbele. Kwa sasa niko nafanya makamuzi yangu katika kampuni fulani hivi ya hapa Mjini Dar es Salaam, na vilevile ninasaidi hapa katika Wikipedia hii ya Kiswahili.

Pia, napenda kuwakaribisha mavijana wenzangu, mababu na mabibi wakiwemo na watoto wenye ufahamu wa kutumia zana za kisasa yaani Kompyuta, tushirikiane kuendeleza kamusi ya Waswahili!

Maisha ya Kidunia

Makuzi yangu yote yalikuwa jijini Dar es Salaam Tanzania, na sijawahi kwenda mkoa wowote ule wa nchini kwetu. Ila najivunia kwa kuzaliwa katika jiji lenye kila kitu, bahari, majumba ya sanaa, starehe mbalimbali, wanamuziki wenye akili kibawa wapo huku, serikali halisi ipo huku, watoto wazuri (wachumba) na mambo mengine mengi tu yapo huku.

Hapo awali , nilikuwa na jina la utani lililojulikana kama Muddy Baby, kwasababu nilikuwa bwana mdogo niliokuwa hatari katika maswala ya kuruka sarakasi (jamani niliwatingisha!!) eeh usipime.. Kadri miaka inavyozidi kwenda majina yanaongezeka, baadaye wakaniita Muddyb kiwakilisho cha neno baby wakalikata ikawa b yaani Muddyb ndio hadi sasa natumia jina hilo.

Blast lilikuja baadaye baada ya kuwa napenda sana nyimbo za Hip hop kupindukia, na vile nikiwa naziimba ndio masela wangu wakaniita Blast Mnyamwezi (Mnyamwezi maanake mtu anayependa hip hop ya kweli) na nikawa natengeneza ala za muziki wa hip hop bila ya Bongo Flava!! Basi ebwanaee toka kipindi hicho ikawa noma mtu wangu hadi leo hii.

Maisha ya katika wikipedia na michango yake

Muddyb nilijiunga rasmi na Wikipedia mnamo tar. 18 Agosti mwaka 2007, nimenuiya kuendeleza mradi huu wa wiki na nitaendelea mpaka sijui lini yaani. Toka kipindi hicho nilichoingia hapa nimetoa michango yangu kadhaa. Zaidi na zaidi, nachangia makala za kuhusiana na filamu na muziki! Na mara chache ushiriki kwenye makala za miji na watu mashuhuri na wenye historia maridhawa duniani. Hebu soma hapo chini upate kujua nimehariri mara ngapi na kuendelea:

  • Hadi sasa nimehariri mara 11,247+
  • Pia unaweza kuangalia michango yangu endelevu kwa kukong'oli hapo chini:

Angalia michango yangu endelevu:

Ukiwa unaswali lolote kuhusiana na wikipedia hii nitakueleza kama hilo swali nalijua namna ya kulijibu. Jamani karibuni.

Masanduku vya Mtumiaji

sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-2 This user is able to contribute with an intermediate level of English.


Bureaucrat Mtumiaji huyu ni Bureaucrat katika Wikipedia ya Kiswahili.
Mtumiaji huyu ni Mkabidhi katika Wikipedia ya Kiswahili. (hakikisha)
Mtumiaji huyu Anatokea Tanzania.
Mtumiaji huyu Anaishi Dar es Salaam.
Mtumiaji huyu ana tovuti, Ambayo inaweza kupatikanika hapa.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhariri Wikipedia.
Mtumiaji huyu ni Mwanachama wa
Wikipedia.
Leo ni tarehe 28 Machi 2024.
Mtumiaji huyu ana ukurasa kwenye Wikimedia Commons.
Mtumiaji huyu hana utulivu katika sela ya uharibifu wa Wikipedia.
Mtumiaji huyu ana furaha.
:-]
Mtumiaji huyu ni mstaarabu.
Mtumia huyu anapenda masanduku ya watumiaji.
Wiki-N Mtumiaji huyu ni mhariri wa Kiswahili fasaha katika Wikipedia.
Mtumiaji huyu ni Mwanadoria katika sehemu ya kurasa mpya.
11,000+

Viungo vya Nje