Mtumiaji:Baba Tabita : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
kurudi hadharani
Mstari 1: Mstari 1:
{{boxboxtop|Lugha}}
Samahani lakini lazima nipumzike kwa muda, shauri la [http://meta.wikimedia.org/wiki/Wikistress "wiki-stress"] (angalao hadi tarehe 15 Desemba 2009 au hata muda mrefu zaidi).
{{user de-N}}
{{user en-4}}
{{user sw-3}}
{{user nl-1}}
{{user fr-1}}
{{user Mkabidhi}}
{{user Bureaucrat}}
{{boxboxbottom}}


Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa '''Baba Tabita''' kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
I'm taking a wiki-break, at least until December 15, 2009, or even longer. --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 10:11, 9 Novemba 2009

Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabila ya Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].

Mwezi wa Agosti 2009 nimefikisha michango [http://toolserver.org/~purodha/sample/dbswithuser.php?usr=Baba_Tabita&go=Go!&uselang=en 20,000].

Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!

Pitio la 19:45, 15 Desemba 2009

Lugha
de Dieser Benutzer spricht Deutsch als Muttersprache.
en-4 This user speaks English at a near-native level.
sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
nl-1 Deze gebruiker bezit elementaire kennis van het Nederlands.
fr-1 Cet utilisateur peut contribuer avec un niveau élémentaire de français.
Mtumiaji huyu ni Mkabidhi katika Wikipedia ya Kiswahili. (hakikisha)
Bureaucrat Mtumiaji huyu ni Bureaucrat katika Wikipedia ya Kiswahili.

Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.

Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.

Mwezi wa Agosti 2009 nimefikisha michango 20,000.

Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!