Bukoba (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Masahihisho aliyefanya 142.227.239.235 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Mr Accountable |
||
Mstari 19: | Mstari 19: | ||
'''Bukoba''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221. <ref>[http://www.tanzania.go.tz/census/districts/bukobaurban.htm Tanzania sensa] </ref> |
'''Bukoba''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221. <ref>[http://www.tanzania.go.tz/census/districts/bukobaurban.htm Tanzania sensa] </ref> |
||
Bukoba iko kando la [[Ziwa |
Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni na kuifanya makao makuu ya mkoa. |
||
==Marejeo== |
==Marejeo== |
Pitio la 19:21, 15 Desemba 2009
Jiji la Bukoba | |
Mahali pa mji wa Bukoba katika Tanzania |
|
Majiranukta: 1°19′12″S 31°48′0″E / 1.32000°S 31.80000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kagera |
Wilaya | Bukoba Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 80,000 |
Bukoba ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221. [1]
Bukoba iko kando la Ziwa Viktoria Nyanza upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni na kuifanya makao makuu ya mkoa.
Marejeo
Kata za Wilaya ya Bukoba Mjini - Mkoa wa Kagera - Tanzania | ||
---|---|---|
Bakoba | Bilele | Buhembe | Hamugembe | Ijuganyondo | Kagondo | Kahororo | Kashai | Kibeta | Kitendaguro | Miembeni | Nshambya | Nyanga | Rwamishenye |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bukoba (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |