Wikipedia:Mwongozo (Kujisajili) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with '==Kujisajili kama mtumiaji== Kila mtu anaweza kuchangia kwenye wikipedia hata bila kujiandikisha. ===1. Faida za kujisajili=== Lakini kujisajili kunaleta nafasi za nyongeza na ...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Wikipedia:Tutorial/TabsHeader|This=8}}
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000">

==Kujisajili kama mtumiaji==
==Kujisajili kama mtumiaji==


Mstari 29: Mstari 32:
** Michango yangu - inakupa orodha ya michango yote uliyofanya kwenye wikipedia
** Michango yangu - inakupa orodha ya michango yote uliyofanya kwenye wikipedia
** Toka - ukipenda kutoka kwa safari hii - baada ya kuboya hupo tena kwa jina hadi kuingia tena
** Toka - ukipenda kutoka kwa safari hii - baada ya kuboya hupo tena kwa jina hadi kuingia tena

[[Jamii:Mwongozo wa Wikipedia|*1]]

Pitio la 11:40, 6 Desemba 2009

Utangulizi   Kuhariri   Kuanzisha Makala   Muundo   Viungo vya Wikipedia   Kutaja vyanzo   Kurasa za majadiliano   Kumbuka   Kujisajili    

Kujisajili kama mtumiaji

Kila mtu anaweza kuchangia kwenye wikipedia hata bila kujiandikisha.

1. Faida za kujisajili

Lakini kujisajili kunaleta nafasi za nyongeza na faida hasa ukichangia mara kwa mara.

  • unapata nafasi zaidi za kuhariri, kwa mfano kama ukurasa umehifadhiwa
  • unapata ukurasa wa "Maangalizi yangu" unaosaidia kutazama makala unazopenda kufuatilia.
  • unaweza kuhamisha kurasa (lakini kumbuka sheria zake)
  • Ni rahisi kutambuliwa na kuhshimiwa na wengine kwa sababu wanakujua kutokana na michango yako
  • Wengine wanaweza kuwasiliana nawe kwenye ukurasa wako wa majaidiliano

2. Kufungua akaunti

  • Hatua ya kwanza ni kubofya kwenye kona ya juu na baadaye tena kwa "kujisajili".
  • Kwa usalama wa wikipedia ni lazima kutaipu herufi zinazoonyehswa katika dirisha dogo chini yake.
  • Sasa unaingiza jina (jinsi unavyochagua) na nywila (neno lako la siri) mara mbili.
  • anwani pepo si lazima; inasaidia kama unapenda kuwasiliana na watumiaji wengine kwa njia hiyo. Unaweza kuiacha na kuonmgeza baadaye.
  • Mwishoni unabofya chini "sajili akaunti"
  • Kama jina ulilochagua limeshachukuliwa na mwingine au kama umekosea kutaipu neno la siri mara mbili unaona dirisha unapaswa kuanza upya.

3. Kuingia

  • Ukiwa mwenye akaunti na jian la wikipedia unaweza kuingia kila safari unapofungua wikipedia.
  • Unabofya tena kwenye kona ya juu utapata dirisha la "Ingia".
  • Sasa unaona viungo vipya kwenye mstari wa juu kabisa kama vile
    • Jina lako - inafungua ukurasa wako wa binafsi
    • Majadiliano yangu - inafungua majadiliano kwenye ukurasa wako
    • Mapendekezo yangu - hapa unaweza kubadilisha kuonekana kwa kurasa zako
    • Maangalizi yangu - inaonyesha orodha ya makala uliyochagua kuyatazama mabadiliko yao
    • Michango yangu - inakupa orodha ya michango yote uliyofanya kwenye wikipedia
    • Toka - ukipenda kutoka kwa safari hii - baada ya kuboya hupo tena kwa jina hadi kuingia tena