Meles Zenawi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: ar:مليس زيناوي
d robot Adding: pt:Meles Zenawi
Mstari 36: Mstari 36:
[[ko:멜레스 제나위]]
[[ko:멜레스 제나위]]
[[pl:Meles Zenawi]]
[[pl:Meles Zenawi]]
[[pt:Meles Zenawi]]
[[ru:Зенауи, Мелес]]
[[ru:Зенауи, Мелес]]
[[sv:Meles Zenawi]]
[[sv:Meles Zenawi]]

Pitio la 23:16, 3 Februari 2007

Faili:496px-Meles Zenawi.jpg
Meles Zenawi

Meles Zenawi (*9 Mei 1955 mjini Adowa, jimbo la Tigray) ni waziri mkuu wa Ethiopia tangu 22 Agosti 1995. Alitangulia kuwa rais wa nchi kati ya 28 Mei 1991 na 22 Agosti 1995.

Historia yake

Zenawi alikuwa mwanafunzi wa uganga kwenye chuo kikuu cha Addis Ababa wakati wa mapinduzi ya kikomunisti ya Ethiopia ya mwaka 1974. 1975 aliacha masomo akarudi kwake Tigray akajiunga na Harakati ya Ukombozi wa Tigray TPLF iliyopinga serikali mpya. Tangu 1985 aliongoza TPLF. 1989 alikuwa mwenyekiti wa ushirikiano wa TPLF na vikundi vingine vya upinzani kutoka sehemu mbalimbali za Ethiopia.

Baada ya kupinduliwa kwa serikali ya kikomunisti ya Mengistu katika Mei 1991 Zenawi aliteuliwa kuwa Rais.

1995 katiba ilibadilishwa. Cheo cha Waziri Mkuu kilikuwa cheo chenye uzito kuliko rais na Zenawi alihamia katika ofisi ya waziri mkuu.

Elimu na maisha ya binafsi

Meles Zenawi ameshika digrii ya MA ya utawala wa biashara kutoka Uingereza na MSc ya uchumi kutoka Uholanzi.

Amemwoa Azeb Mesfin na baba wa watoto watatu. Inasemakana Meles anapenda kusoma, kuogelea na tennis.