Doha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Doha
d roboti Nyongeza: ace:Doha
Mstari 27: Mstari 27:
[[Jamii:Doha| ]]
[[Jamii:Doha| ]]


[[ace:Doha]]
[[af:Doha]]
[[af:Doha]]
[[am:ዶሃ]]
[[am:ዶሃ]]

Pitio la 19:05, 1 Desemba 2009


Jiji la Doha
Nchi Qatar
Majengo ya kisasa mjini Doha

Doha (Kiarabu: الدوحة ad-dawḥah) ni mji mkuu wa Qatar.

Idadi ya watu ni takriban lakhi nne (2005). Doha ni mji wa bandari mwambaoni wa ghuba ya Uajemi.

Doha iliundwa mwaka 1850 kwa jina Al-Bida (mji mweupe). Tangu kupatikana kwa mafuta ya petroli mji umejengwa upya na nyumba kubwa na za kisasa kabisa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Doha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.