Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Bado haijamaliziwa...
 
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000">
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000">
[[Picha:Hariri-ukurasa-huu.PNG|right|Bonyeza "hariri" kubadili makala]]
[[Picha:Hariri-ukurasa-huu.PNG|right|Bonyeza "hariri" kubadili makala]]
Ukitoa kurasa chache [[Wikipedia:Makala kwa ulindaji|zinazolindwa]], kila kurasa ina kiungo kinachosema "'''''hariri'''''", ambayo inakupatia kurasa unayoitafuta. Hiki ni kipengele muhimu sana cha Wikipedia, na wote wanaruhusiwa kufanya masahihisho na kuongezea masuala mengine kwenye makala. Iwapo unaongeza habari fulani kwenye makala, [[Wikipedia:Kutaja vyanzo|tafadhali weka marejeo]], kwa sababu [[Wikipedia:Uthibitishaji|habari zisizo na vyanzo kuna uwezekano wa kuondolewa]].
Ukitoa kurasa chache [[Wikipedia:Makala zinazolindwa|zinazolindwa]], kila kurasa ina kiungo kinachosema "'''''hariri'''''", ambacho kinakupatia kurasa unayoitafuta. Hiki ni kipengele muhimu sana cha Wikipedia, na wote wanaruhusiwa kufanya masahihisho na kuongezea masuala mengine kwenye makala. Iwapo unaongeza habari fulani kwenye makala, [[Wikipedia:Kutaja vyanzo|tafadhali weka marejeo]], kwa sababu [[Wikipedia:Uthibitishaji|habari zisizo na vyanzo kuna uwezekano wa kuondolewa]].


Nenda kwa [[Wikipedia:Ukufunzi (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]] na ubonyeze kiungo cha "''hariri''". Hii itafungua dirisha la kuhariria lililo na maandishi ya ukurasa huu. Weka kitu cha kujifurahisha au "Salam ulimwengu!", halafu '''Hifadhi kurasa''' na tazama nini ulichofanya! Kuwa mwangalifu kuhakikisha kwamba una hariri ukurasa wa sanduku la mchanga, na siyo maandishi ya ukurasa huu wa ukufunzi.
Nenda kwa [[Wikipedia:Ukufunzi (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]] na ubonyeze kiungo cha "''hariri''". Hii itafungua dirisha la kuhariria lililo na maandishi ya ukurasa huu. Weka kitu cha kujifurahisha au "Salam ulimwengu!", halafu '''Hifadhi kurasa''' na tazama nini ulichofanya! Kuwa mwangalifu kuhakikisha kwamba una hariri ukurasa wa sanduku la mchanga, na siyo maandishi ya ukurasa huu wa ukufunzi.

Pitio la 11:54, 1 Desemba 2009

Utangulizi   Kuhariri   Kuanzisha Makala   Muundo   Viungo vya Wikipedia   Kutaja vyanzo   Kurasa za majadiliano   Kumbuka   Kujisajili    
Bonyeza "hariri" kubadili makala
Bonyeza "hariri" kubadili makala

Ukitoa kurasa chache zinazolindwa, kila kurasa ina kiungo kinachosema "hariri", ambacho kinakupatia kurasa unayoitafuta. Hiki ni kipengele muhimu sana cha Wikipedia, na wote wanaruhusiwa kufanya masahihisho na kuongezea masuala mengine kwenye makala. Iwapo unaongeza habari fulani kwenye makala, tafadhali weka marejeo, kwa sababu habari zisizo na vyanzo kuna uwezekano wa kuondolewa.

Nenda kwa sanduku la mchanga na ubonyeze kiungo cha "hariri". Hii itafungua dirisha la kuhariria lililo na maandishi ya ukurasa huu. Weka kitu cha kujifurahisha au "Salam ulimwengu!", halafu Hifadhi kurasa na tazama nini ulichofanya! Kuwa mwangalifu kuhakikisha kwamba una hariri ukurasa wa sanduku la mchanga, na siyo maandishi ya ukurasa huu wa ukufunzi.

Onyesha hakikisho

Moja ya kipengele muhimu cha kuanza kutumia sasa ni kitufe Onyesha hakikisho la mabadiliko. Jaribu kufanya uhariri kwenye sanduku la mchanga, halafu bonyeza kitufe cha Onyesha hakikisho la mabadiliko badala ya Hifadhi Kurasa. Hii inakuruhusu kuona kurasa itakavyoonekana baada ya kuhifadhi, kabla hujahifadhi. Wote twafanya makosa; kipengele hiki kinakuonyesha makosa hayo. Kutumia Onyesha Hakiksho la Mabadiliko kabla ya kuhifadhi pia inakuruhusu kujaribu kubadili miundo na maharirio mengine bila ya kupagaranyua historia ya kurasa. Usisahau kuhifadhi maharirio yako baada ya kuhakiki!

Muhtasari wa kuhariri

The "Show preview" button is right next to the "save page" button and below the edit summary field.

Before you hit Save page, it is considered good etiquette (or "Wikiquette") to enter a polite explanation of your changes in the Edit summary box between the edit window and the Save page and Show preview buttons. It can be quite short; for example if you just enter "typo", people will know you made a spelling correction. Also, if the change you have made to the page is minor, such as correcting a spelling or grammar error, be sure to check the box "This is a minor edit" (this is only available if you have logged in).


Try editing in the sandbox
Endelea ukufunzi na Muundo