NATO : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:NATO
Mstari 141: Mstari 141:
[[vo:NBNL]]
[[vo:NBNL]]
[[war:Katig-uban Tratado han Amihanan Atlantiko]]
[[war:Katig-uban Tratado han Amihanan Atlantiko]]
[[yo:NATO]]
[[zh:北大西洋公约组织]]
[[zh:北大西洋公约组织]]
[[zh-min-nan:NATO]]
[[zh-min-nan:NATO]]

Pitio la 20:38, 28 Novemba 2009

Madola ya NATO katika Ulaya

NATO ni kifupi cha North Atlantic Treaty Organisation au Jumuiya ya Mkataba wa Atlantiki ya Kaskazini ambayo ni ushirikiano wa kujihami ya kambi ya magharibi. Inaunganisha nchi nyingi za Ulaya pamoja na Marekani na Kanada. Nchi wanachama zimeahidi kuteteana kama moja inashambuliwa na nje. Makao makuu yapo Brussels.

NATO ilianzishwa mwaka 1949 wakati wa vita baridi kama maungano ya nchi za Ulaya ya magharibi pamoja na Marekani dhidi ya Umoja wa Kisovyeti. Nchi wanachama wa kwanza walikuwa Marekani, Ubelgiji, Uholanzi, Luxemburg, Ufaransa, Uingereza, Kanada, Ureno, Italia, Norwei, Denmark na Iceland. 1952 Ugiriki na Uturuki zilijiunga pia zikafuatwa na Ujerumani ya Magharibi.


Baada ya mwisho wa vita baridi nchi zilizokuwa chini ya Umoja wa Kisoveti kama sehemu ya kambi ya kikomunisti zilijiunga na NATO kuanzia mwaka 1999. Ndizo Hungaria, Ucheki, Poland (1999), halafu Estonia, Latvia, Lithuania, Slovenia, Slovakia, Bulgaria na Romania (2004).

Kroatia na Albania zimekaribishwa kujiunga na NATO lakini zinapaswa kutimiza masharti kadhaa juu ya demokrasia na utawala ndani ya taifa. Jamhuri ya Masedonia ilikaribishwa pia lakini Ugiriki ilikataza mwaliko hadi Masedonia itapatana juu ya jina lake linalodaiwa na Ugiriki pia.

Viugo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Kigezo:Link FA