Santo Domingo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: cy, nah, os Badiliko: es, it
d roboti Nyongeza: af:Santo Domingo
Mstari 53: Mstari 53:
[[Jamii:Miji Mikuu Amerika]]
[[Jamii:Miji Mikuu Amerika]]


[[af:Santo Domingo]]
[[am:ሳንቶ ዶሚንጎ]]
[[am:ሳንቶ ዶሚንጎ]]
[[ar:سان دمنجو]]
[[ar:سان دمنجو]]

Pitio la 02:19, 20 Novemba 2009

Santo Domingo

Santo Domingo ya kihistoria (Kanisa Kuu)
Habari za kimsingi
Utawala Wilaya ya Kitaifa (Distrito Nacional)
Anwani ya kijiografia Latitudo: 18°30′N - Longitudo: 69°59′W
Kimo 14 m juu ya UB
Eneo - 80 km²
Wakazi - mji: 913,540 (2001)
- rundiko la mji: 2,500,000
Msongamano wa watu watu 1,141 kwa km²
Simu +1809 (nchi yote)
Mahali

Santo Domingo ni mji mkuu wa Jamhuri ya Dominika. Ni kati ya miji ya kale kabisa ya Karibi ilikuwa mji wa kwanza ulioanzishwa na Wahispania katika Amerika. Kuna hapa majengo ya kwanza ya historia ya kikoloni katika Amerika yote yaani kanisa la kwanza, chuo kikuu cha kwanza na hospitali ya kwanza.

Idadi ya wakazi ni mnamo milioni mbili.

Wakati wa udikteta wa Rafael Trujillo mji ukaitwa "Ciudad Trijillo" (mji wa Trujillo) kati 1936 hadi 1961.

Historia

Santo Domingo imekaliwa na Wahispania tangu 1496 ikaundwa kama mji mwaka 1498 na Bartolomeo Kolumbus (kakaye Kristoforo Kolumbus) kwenye mdomo wa mto Ozama gegründet ikapewa jina "La Nueva Isabela" kwa heshima ya malkia ya Hispania. Ikaharibika na tufani mwaka 1502 na kujengwa upya upande wa magharibi ya mto.

Kanisa Kuu la Santa Maria de la Encarnación ni kanisa la kale la Amerika yote lilioanzishwa mwaka 1521 na kukamilika 1540. Hadi 1992 lilikuwa na kaburi ambalo kwa imani ya wenyeji lilikuwa la Kristoforo Kolumbus lililohamishwa kwa sherehe ya miaka 500 ya kufika kwake Amerika na kupelekwa katika jengo jipya.

Chuo Kikuu kikaanzishwa mjini mwaka 1538.

Mji wa Kale uliingizwa na UNESCO katika orodha la "urithi wa dunia".


Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.