Edward Kendall : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: la:Eduardus C. Kendall
Mstari 27: Mstari 27:
[[la:Eduardus C. Kendall]]
[[la:Eduardus C. Kendall]]
[[lt:Edward Calvin Kendall]]
[[lt:Edward Calvin Kendall]]
[[mn:Эдвард Кэлвин Кэндалл]]
[[nl:Edward Calvin Kendall]]
[[nl:Edward Calvin Kendall]]
[[pl:Edward Calvin Kendall]]
[[pl:Edward Calvin Kendall]]

Pitio la 20:30, 19 Novemba 2009

Edward Calvin Kendall (8 Machi, 18864 Mei, 1972) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza homoni katika gamba la tezi adrenali. Mwaka wa 1950, pamoja na Philip Hench na Tadeus Reichstein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Kendall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.