Yohane IV : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
[[Category:Wafalme wa Uhabeshi]]
[[Category:Wafalme wa Uhabeshi]]


[[am:ንጉሠ-ነግስት ዮሐንስ አራተኛ]]
[[de:Yohannes IV.]]
[[de:Yohannes IV.]]
[[en:Yohannes IV of Ethiopia]]
[[en:Yohannes IV of Ethiopia]]
[[fr:Yohannès IV d'Éthiopie]]
[[fr:Yohannès IV d'Éthiopie]]
[[it:Giovanni IV d'Etiopia]]
[[pl:Jan IV Kassa]]
[[pl:Jan IV Kassa]]

Pitio la 05:43, 29 Januari 2007

Yohane IV

Yohannes IV (* 1831 kwa jina la Dejazmach Kassay; † 12 Machi 1889 Metemma, Sudan) alikuwa Ras wa Tigray na Kaisari wa Ethiopia kati ya 18721889. Alimfuata Tewodros II akifaulu kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia.

1876 aliweza kuzuia mashambulio ya Misri dhidi ya Ethiopia.
Aliuawa katika mapigano ya Metemna dhidi ya jeshi la Al-Mahdi tar. 9 Machi 1889. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye Omdurman.