John Fisher : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: de, es, fr, it, la, no, sv
d robot Adding: cs:John Fisher
Mstari 6: Mstari 6:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[cs:John Fisher]]
[[de:John Fisher]]
[[de:John Fisher]]
[[en:John Fisher]]
[[en:John Fisher]]

Pitio la 21:35, 27 Januari 2007

John Fisher (146922 Juni, 1535) alikuwa padre Mkatoliki kule Uingereza. Pia aliitwa John wa Rochester. Alimkataa mfalme Henry VIII aliyejitenga na Kanisa la kikatoliki. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa ndani na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Mwaka wa 1935 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 9 Julai.