UK Singles Chart : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with ''''UK Singles Chart''' ni chari inayotolewa na The Official UK Charts Company (OCC) kwa niaba ya soko la rekodi za Kiingereza. Chati huendeshwa katika wiki huanza Jumapili ha...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''UK Singles Chart''' ni chari inayotolewa na [[The Official UK Charts Company]] (OCC) kwa niaba ya soko la rekodi za Kiingereza. Chati huendeshwa katika wiki huanza Jumapili hadi Jumamosi, pamoja na chati zilizochapishwa kwenye jarida la muziki la [[Music Week]] (75 Bora tu), [[ChartsPlus]] (200 Bora), na kuchapishwa tena mtandaoni kwenye matovuti mbalimbali (hasa zile za 40 Bora tu, basi). Takriban 6,500 mauzo ya rejareja ya UK hutoa ripoti ya mauzo, vilevile na yale maduka ya mtandaoni ya UK pia hutoa ripoti hizo. Hii iko tofauti kidogo na Marekani, hazitumiki takwimu za kupigwa sana maredioni na kwenye TV kuwa kama tumio rasmi la kuanisha nani mkali wa UK Singles Chart. Mara nyingi single za UK hutolewa madukani katika siku ya Jumatatu.
'''UK Singles Chart''' ni chati inayotolewa na [[The Official UK Charts Company]] (OCC) kwa niaba ya soko la rekodi za Kiingereza. Chati huendeshwa katika wiki huanza Jumapili hadi Jumamosi, pamoja na chati zilizochapishwa kwenye jarida la muziki la [[Music Week]] (75 Bora tu), [[ChartsPlus]] (200 Bora), na kuchapishwa tena mtandaoni kwenye matovuti mbalimbali (hasa zile za 40 Bora tu, basi). Takriban 6,500 mauzo ya rejareja ya UK hutoa ripoti ya mauzo, vilevile na yale maduka ya mtandaoni ya UK pia hutoa ripoti hizo. Hii iko tofauti kidogo na Marekani, hazitumiki takwimu za kupigwa sana maredioni na kwenye TV kuwa kama tumio rasmi la kuanisha nani mkali wa UK Singles Chart. Mara nyingi single za UK hutolewa madukani katika siku ya Jumatatu.
==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==
*[http://www.theofficialcharts.com/ The Official UK Charts Company]
*[http://www.theofficialcharts.com/ The Official UK Charts Company]

Pitio la 15:01, 18 Novemba 2009

UK Singles Chart ni chati inayotolewa na The Official UK Charts Company (OCC) kwa niaba ya soko la rekodi za Kiingereza. Chati huendeshwa katika wiki huanza Jumapili hadi Jumamosi, pamoja na chati zilizochapishwa kwenye jarida la muziki la Music Week (75 Bora tu), ChartsPlus (200 Bora), na kuchapishwa tena mtandaoni kwenye matovuti mbalimbali (hasa zile za 40 Bora tu, basi). Takriban 6,500 mauzo ya rejareja ya UK hutoa ripoti ya mauzo, vilevile na yale maduka ya mtandaoni ya UK pia hutoa ripoti hizo. Hii iko tofauti kidogo na Marekani, hazitumiki takwimu za kupigwa sana maredioni na kwenye TV kuwa kama tumio rasmi la kuanisha nani mkali wa UK Singles Chart. Mara nyingi single za UK hutolewa madukani katika siku ya Jumatatu.

Viungo vya Nje