Tikisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: br:Kannerez (evn)
dNo edit summary
Mstari 14: Mstari 14:
| spishi = Angalia katiba
| spishi = Angalia katiba
}}
}}
'''Matikisa''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Motacilla]]'' na ''[[Dendronanthus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Motacillidae]] ambao huitwa '''vibikula''' pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na [[spishi]] nyingine zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] ardhini na hutaga [[yai|mayai]] 4-8 ndani ya kikombe cha [[nyasi|manyasi]] ardhini.
'''Matikisa''' au '''vibikula''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Motacilla]]'' na ''[[Dendronanthus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Motacillidae]]. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na [[spishi]] kadhaa zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] ardhini na hutaga [[yai|mayai]] 4-8 ndani ya kikombe cha [[nyasi|manyasi]] ardhini.


== Spishi za Afrika ==
== Spishi za Afrika ==

Pitio la 22:38, 16 Novemba 2009

Tikisa
Tikisa-majumba
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Jenasi: Dendronanthus Blyth, 1844

Motacilla Linnaeus, 1758

Spishi: Angalia katiba

Matikisa au vibikula ni ndege wa jenasi Motacilla na Dendronanthus katika familia ya Motacillidae. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi kadhaa zina rangi nzuri. Hukamata wadudu ardhini na hutaga mayai 4-8 ndani ya kikombe cha manyasi ardhini.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

  • Dendronanthus indicus (Forest Wagtail)
  • Motacilla flava (Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. angarensis (South Siberian Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. leucocephala (White-headed Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. macronyx (Southeast Siberian Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. melanogrisea (Turkestan Black-headed Wagtail)
    • Motacilla f. plexa (North Siberian Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. simillima (Bering Sea Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. taivana (Green-crowned Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. tschutschensis (Beringian Yellow Wagtail)
  • Motacilla grandis (Japanese Wagtail)
  • Motacilla lugens (Black-backed Wagtail)
  • Motacilla madaraspatensis (White-browed Wagtail)
  • Motacilla samveasnae (Mekong Wagtail)

Picha