Alfred Fried : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: cs:Alfred Hermann Fried
d robot Adding: sv:Alfred Fried
Mstari 17: Mstari 17:
[[pl:Alfred Hermann Fried]]
[[pl:Alfred Hermann Fried]]
[[pt:Alfred Hermann Fried]]
[[pt:Alfred Hermann Fried]]
[[sv:Alfred Fried]]

Pitio la 12:24, 24 Januari 2007

Alfred Hermann Fried (11 Novemba, 18645 Mei, 1921) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Austria. Alianzisha makampuni na majarida mengi kwa ajili ya amani. Mwaka wa 1911, pamoja na Tobias Asser alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.