George Porter : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: la:Georgius Porter
d roboti Nyongeza: nds:George Porter
Mstari 24: Mstari 24:
[[ja:ジョージ・ポーター]]
[[ja:ジョージ・ポーター]]
[[la:Georgius Porter]]
[[la:Georgius Porter]]
[[nds:George Porter]]
[[nl:George Porter]]
[[nl:George Porter]]
[[oc:George Porter]]
[[oc:George Porter]]

Pitio la 19:10, 10 Novemba 2009

George Porter (6 Desemba, 192031 Agosti, 2002) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza hali za ulinganifu wa molekuli. Mwaka wa 1967, pamoja na Manfred Eigen na Ronald Norrish alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1972 alipewa cheo cha "Sir".

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Porter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.