Seli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: mhr:Илпарчак
d roboti Nyongeza: yo:Àhámọ́; cosmetic changes
Mstari 7: Mstari 7:
Kimsingi seli za eukaryota huwa na
Kimsingi seli za eukaryota huwa na
*[[kiini cha seli]],
* [[kiini cha seli]],
*[[utando wa seli]] (ganda la nje) na
* [[utando wa seli]] (ganda la nje) na
*[[Utegili (seli)|utegili]] unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama [[ribosomu]] au [[dutuvuo]] (mitokondria), .
* [[Utegili (seli)|utegili]] unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama [[ribosomu]] au [[dutuvuo]] (mitokondria), .




Mstari 108: Mstari 108:
[[war:Selula]]
[[war:Selula]]
[[yi:צעל]]
[[yi:צעל]]
[[yo:Àhámọ́]]
[[zh:细胞]]
[[zh:细胞]]
[[zh-min-nan:Sè-pau]]
[[zh-min-nan:Sè-pau]]

Pitio la 07:11, 7 Novemba 2009

Seli za ngozi ya mtu chini ya hadubini

Seli (kutoka Kilatini cellula = chumba kidogo) ni chumba kidogo ndani ya mwili wa binadamu, wanyama na mimea. Mwili wote wa kila kiumbehai hufanywa na seli. Viumbehai vidogo sana kama bakteria huwa na seli moja tu. Mwili wa mwanadamu huwa na seli trilioni 100 au 1014. Kila yai ni seli moja hivyo seli kubwa duniani ni yai la mbuni. Seli za kawaida ni ndogo sana hutazamiwa kwa kutumia hadubini.

Muundo wa seli

Seli zinatofautiana kisasi kati ya doeni za viumbehai. Bakteria na archaea huwa na seli za mfuto lakini seli za eukaryota zina vitu ndani zao.

Kimsingi seli za eukaryota huwa na


Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA