Tofauti kati ya marekesbisho "Mfereji wa Suez"

Jump to navigation Jump to search
29 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: os:Суэцы къанау; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: os:Суэцы къанау; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Bainbridge in Suez.jpg|thumb|250px|[[Manowari]] ikipita katika Mfereji wa Suez]]
[[ImagePicha:SuezCanal-EO.JPG|thumb|250px|Mfereji wa Suez kutoka angani kati ya [[Mediteranea]] (juu) na [[Bahari ya Shamu]] (chini)]]
 
'''Mfereji wa Suez''' ([[Kiarabu]]: قناة السويس, ''qanā as-suways'') ni mfereji mubwa nchini [[Misri]].
 
== Mahali pake ==
Unaunganisha [[Bahari ya Mediteranea]] na [[Bahari ya Shamu]] hivyo na [[Bahari Hindi]].
Mfereji uko upande wa magaribi ya [[rasi ya Sinai]]. Urefu wake ni 163 km na upana ni kuanzia 300m.
Unaanza mjini [[Port Said]] (''Būr Sa'īd'') upande wa [[Mediteranea]] na kuishia mjini [[Suez]] (''al-Suways'') upande wa Bahari ya Shamu.
 
== Historia ==
Ilijengwa kati ya [[1859]] na [[1869]] na kampuni ya kifaransa.
 
Meli ya kwanza ilipita mfereji mpya tar. [[17 Februari]] [[1867]]. Mtungaji muziki [[Giuseppe Verdi]] aliandika [[opera]] yake [[Aida]] hasa kwa nafasi hii.
 
== Umuhimu wa mfereji wa Suez ==
Mfereji umeharakisha na kurahisisha usafiri kati ya Ulaya, Asia na Afrika ya Mashariki. Zipatao meli 15,000 zinapita kwenye mfereji kila mwaka.
 
Mafanikio ya mfereji wa Suez yalihamasisha mianzo ya [[Mfereji wa Panama]].
 
== Kutaifishwa kwa mfereji 1956 ==
Mfereji ulikuwa mali ya Compagnie universelle du canal maritime de Suez au ampuni ya mfereji wa Suez na hisa zake zilikuwa mkononi mwa serikali za Ufaransa na Uingereza.
 
Mwaka 1956 serikali ya Misri chini ya rais [[Gamal Abdel Nasser]] ilitaifisha mfereji na tendo hili likasababisha [[vita ya Suez ya 1956]] ambako Uingereza, Ufaransa na [[Israel]] zililazimishwa na mataifa makubwa kujiondoa katika Misri baada ya uvamizi wao.
 
[[CategoryJamii:jiografia]]
[[CategoryJamii:Usafiri wa maji]]
[[CategoryJamii:Misri]]
[[Jamii:Mediteranea]]
[[Jamii:Bahari ya Shamu]]
[[oc:Canal de Suèz]]
[[om:Suez Canal]]
[[os:Суэцы къанау]]
[[pl:Kanał Sueski]]
[[pms:Canal ëd Suez]]
44,086

edits

Urambazaji