Yordani (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18: Mstari 18:




'''Yordani''' ([[Kiebrania]]: נהר הירדן ''nehar hayarden'', [[Kiarabu]]: نهر الأردن ''nahr al-urdun'') ni mto mdogo katika [[Mashariki ya Kati]] lakini ni kati ya mito inayojulikana sana duniani kwa sababu imetajwa mara nyingi katika [[Biblia]]. Kwa sehemu kubwa ya njia yake ni mpaka kati ya ufalme wa [[Yordani]] upande wa mashariki na maeneo ya [[Palestina]] na [[Israel]] upande wa magharibi. Katika dini za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]] Yordani ina maana ya kidini.
'''Yordani''' ([[Kiebrania]]: נהר הירדן ''nehar hayarden'', [[Kiarabu]]: نهر الأردن ''nahr al-urdun'') ni mto mdogo katika [[Mashariki ya Kati]] lakini ni kati ya mito inayojulikana sana duniani kwa sababu imetajwa mara nyingi katika [[Biblia]]. Hivyo katika [[dini]] za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]] Yordani ina maana ya kidini.


Kwa sehemu kubwa ya njia yake uko chini ya [[usawa wa bahari]] na ni mpaka kati ya ufalme wa [[Yordani]] upande wa mashariki na maeneo ya [[Palestina]] na [[Israel]] upande wa magharibi.
Chanzo cha Yordani ni mito minne inayoanza karibu na [[mlima Hermoni]] mpakani wa Israel, [[Lebanon]] na [[Syria]].
Mito ya chanzo inaungana katika Israel ya kaskazini. Yordani hupita eneo la [[Galilaya]] inapounda [[ziwa Genesareti]] na baada ya kutoka inatelemka kwa kunyoka mara nyingi hadi [[Bahari ya Chumvi]]. Mdomo wake uko 400 m chini ya usawa wa bahari hivyo Yordani ni mto wa duni kabisa duniani.


Chanzo cha Yordani ni mito minne inayobubujika karibu na [[mlima Hermoni]] mpakani kwa Israel, [[Lebanon]] na [[Syria]].
Kiasi cha maji kwenye sehemu ya kusini ya mto kimepungua sana kwa sababu Israel inavuta sehemu kubwa ya maji na kuitumia kwa ajili ya matumizi kibinadamu katika miji yake.


Mito ya chanzo inaungana katika Israel ya kaskazini.
Bonde la Yordani ni sehemu ya kaskazini ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] linaloenelea katika bonde la Araba na kupita [[Bahari ya Shamu]] hadi kuonekana tena [[Eritrea]].

Yordani hupita eneo la [[Galilaya]] inapounda [[ziwa Genesareti]] na baada ya kutoka hapo inatelemka kwa kunyoka mara nyingi hadi [[Bahari ya Chumvi]].

Mdomo wake uko 400 m chini ya [[usawa wa bahari]], hivyo Yordani ni mto wa pekee kabisa duniani.

Kiasi cha maji kwenye sehemu ya kusini ya mto kimepungua sana kwa sababu Israel inavuta sehemu kubwa ya maji na kuitumia kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu katika miji yake.

Bonde la Yordani ni sehemu ya kaskazini ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] linaloendelea katika bonde la Araba na kupita [[Bahari ya Shamu]] hadi kuonekana tena [[Eritrea]].


[[Jamii:Mito ya Israel]]
[[Jamii:Mito ya Israel]]
[[Jamii:Mito ya Palestina]]
[[Jamii:Mito ya Yordani]]
[[Jamii:Mito ya Yordani]]
[[Jamii:Mahali pa Biblia]]
[[Jamii:Mito ya Biblia]]


[[ar:نهر الأردن]]
[[ar:نهر الأردن]]

Pitio la 17:42, 31 Oktoba 2009

Mto wa Yordani
Mto Yordani
Chanzo Mlima Hermoni (mpakani wa Israel na Lebanon]])
Mdomo Bahari ya Chumvi
Nchi Lebanon, Syria, Israel, Yordani, Palestina
Urefu 400 km (170 km mwendo wa ndege)
Kimo cha chanzo takriban 300 m juu ya UB
Tawimito Hazbani, Dan, Banyas, Yarmuk
Eneo la beseni km²


Yordani (Kiebrania: נהר הירדן nehar hayarden, Kiarabu: نهر الأردن nahr al-urdun) ni mto mdogo katika Mashariki ya Kati lakini ni kati ya mito inayojulikana sana duniani kwa sababu imetajwa mara nyingi katika Biblia. Hivyo katika dini za Uyahudi na Ukristo Yordani ina maana ya kidini.

Kwa sehemu kubwa ya njia yake uko chini ya usawa wa bahari na ni mpaka kati ya ufalme wa Yordani upande wa mashariki na maeneo ya Palestina na Israel upande wa magharibi.

Chanzo cha Yordani ni mito minne inayobubujika karibu na mlima Hermoni mpakani kwa Israel, Lebanon na Syria.

Mito ya chanzo inaungana katika Israel ya kaskazini.

Yordani hupita eneo la Galilaya inapounda ziwa Genesareti na baada ya kutoka hapo inatelemka kwa kunyoka mara nyingi hadi Bahari ya Chumvi.

Mdomo wake uko 400 m chini ya usawa wa bahari, hivyo Yordani ni mto wa pekee kabisa duniani.

Kiasi cha maji kwenye sehemu ya kusini ya mto kimepungua sana kwa sababu Israel inavuta sehemu kubwa ya maji na kuitumia kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu katika miji yake.

Bonde la Yordani ni sehemu ya kaskazini ya Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki linaloendelea katika bonde la Araba na kupita Bahari ya Shamu hadi kuonekana tena Eritrea.