Tofauti kati ya marekesbisho "Mtumiaji:Baba Tabita"

Jump to navigation Jump to search
wiki-stress
dNo edit summary
(wiki-stress)
Samahani lakini lazima nipumzike kwa muda, shauri la [http://en.wikipedia.org/wiki/wiki-stress "wiki-stress"].
{{boxboxtop|Lugha}}
{{user de-N}}
{{user en-4}}
{{user sw-3}}
{{user nl-1}}
{{user fr-1}}
{{user Mkabidhi}}
{{user Bureaucrat}}
{{boxboxbottom}}
 
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver Stegen, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa '''Baba Tabita''' kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
 
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabila ya Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].
 
Hadi mwezi wa Desemba 2007, nimetoa michango zaidi ya elfu kumi na tano (15,000). Agosti 2009 nimefikisha michango [http://toolserver.org/~purodha/sample/dbswithuser.php?usr=Baba_Tabita&go=Go!&uselang=en 20,000].
 
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia hii mwezi wa pili 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!
62,394

edits

Urambazaji