Ukame wa Eire : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 29: Mstari 29:
[[no:Hungersnøden i Irland 1845-1849]]
[[no:Hungersnøden i Irland 1845-1849]]
[[pl:Klęska głodu w Irlandii]]
[[pl:Klęska głodu w Irlandii]]
[[pt:Grande fome de 1845-1849 na Irlanda]]
[[ro:Marea Foamete]]
[[ro:Marea Foamete]]
[[ru:Голод в Ирландии 1845—1849]]
[[ru:Голод в Ирландии 1845—1849]]

Pitio la 00:10, 28 Oktoba 2009

Ukame Mkubwa au Njaa Kubwa (Kieire: An Gorta Mór au An Drochshaol) ni jina lilotolewa kwa ajili ya kipindi cha ukame nchini Eire kati ya 1845 na 1849. Nje ya Eire, maranyingi waliita Irish Potato Famine yaani Ukame wa Mbatata Eire. Ukame huo ulisababishwa na mabaka-baka. Mabakabaka ilikuwa ugonjwa uliyoharibu viazi mbatata vya nchini Eire kwa haraka sana.

Viazi mbatata ilikuwa chakula kikubwa kwa nchi ya Eire kwa kipindi hicho. Athali za ukame huo zilikuja kwisha mnamo mwaka wa 1851. Mengi yaliyotokea hayakuwahi kujuilikana kwa kipindi hicho.

Inasadikika kuwa takriban watu 500,000 na zaidi ya milioni moja walipoteza maisha kwa njaa au magonjwa katika miaka hiyo mitatu, kuanzia 1846 hadi 1849. Mamilion ya wengine wakaja kuwa wakimbizi kwasababu ya ukame. Waliondoka Eire na kuhamia Great Britain, Marekani, Kanada, na Australia.