Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with ''''Wizara ya Utamaduni na Utalii''' (Kituruki: Kültür ve Turizm Bakanlığı) ni ofisi ya wizara ya serikali ya Jamhuri ya Uturuki, inahusika na masuala ya utamaduni na...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:04, 17 Oktoba 2009

Wizara ya Utamaduni na Utalii (Kituruki: Kültür ve Turizm Bakanlığı) ni ofisi ya wizara ya serikali ya Jamhuri ya Uturuki, inahusika na masuala ya utamaduni na utalii nchini Uturuki. Na kwa mwaka wa 2008, inaongozwa na Ertuğrul Günay.[1]

Marejeo

  1. Ertuğrul Günay. Republic of Turkey Ministry of Culture and Tourism. Iliwekwa mnamo 2008-07-22.

Viungo vya Nje


Kigezo:Mbegu-Uturuki