William Golding : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
mbegu-mwandishi |
d roboti Nyongeza: br:William Golding |
||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
[[ar:وليم غولدنغ]] |
[[ar:وليم غولدنغ]] |
||
[[bg:Уилям Голдинг]] |
[[bg:Уилям Голдинг]] |
||
[[br:William Golding]] |
|||
[[ca:William Golding]] |
[[ca:William Golding]] |
||
[[cs:William Golding]] |
[[cs:William Golding]] |
Pitio la 10:44, 13 Oktoba 2009
William Gerald Golding (19 Septemba, 1911 – 19 Juni, 1993) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Hasa aliandika riwaya, kwa mfano "Bwana wa Nzi" (kwa Kiingereza Lord of the Flies) iliyotolewa mwaka wa 1954. Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Mwaka wa 1988 alipewa cheo cha Sir cha Uingereza.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Golding kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |