Johannes Fibiger : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 8: Mstari 8:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[ca:Johannes Andreas Grib Fibiger]]
[[da:Johannes Fibiger]]
[[da:Johannes Fibiger]]
[[de:Johannes Fibiger]]
[[de:Johannes Fibiger]]

Pitio la 11:08, 18 Januari 2007

Johannes Fibiger (23 Aprili, 186730 Januari, 1928) alikuwa daktari na mwanapatholojia kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza ugonjwa wa kansa. Mwaka wa 1926 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.