Bloemfontein : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Badiliko: uk:Блумфонтайн |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: yo:Bloemfontein |
||
Mstari 101: | Mstari 101: | ||
[[vi:Bloemfontein]] |
[[vi:Bloemfontein]] |
||
[[vo:Bloemfontein]] |
[[vo:Bloemfontein]] |
||
[[yo:Bloemfontein]] |
|||
[[zh:布隆方丹]] |
[[zh:布隆方丹]] |
||
[[zh-min-nan:Bloemfontein]] |
[[zh-min-nan:Bloemfontein]] |
Pitio la 20:53, 7 Oktoba 2009
Jiji la Bloemfontein | |
Mahali pa mji wa Bloemfontein katika Afrika Kusini |
|
Majiranukta: 29°9′0″S 26°13′48″E / 29.15000°S 26.23000°E | |
Nchi | Afrika Kusini |
---|---|
Majimbo | Dola Huru |
Tovuti: www.bloemfontein.co.za |
Bloemfontein (tamka: "Blumfontain" - Kiholanzi/Kiafrikaans "chemchemi ya maua") ni kati ya miji mikuu mitatu ya Afrika Kusini pamoja na Pretoria na Cape Town. Jina la Kisotho ni Mangaung linalomaanisha "kwa duma". Bloemfountain ni makao ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini pia mju mkuu wa mkoa wa Vrystaat (au: Free State - "Dola huru").
Mji uko kwenye uwanja wa juu wenye kimo cha 1,395 m juu ya UB.
Mji mwenyewe una takriban wakazi 500,000. Kuna mji wa pili pamoja nao wa Mangaung wa wakazi 650,000 uliojengwa wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi kwa ajili ya watu weusi.
Tazama pia
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bloemfontein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |