Fuzuli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ku:Fuzûlî
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
:''For the administrative region of [[Azerbaijan]], see [[Fizuli]].''
:''Kwa eneo la utawala nchini [[Azerbaijan]], angalia [[Fizuli]].''
[[Image:Fuzûlî.jpg|thumb|150px|Fuzûlî (1483?–1556)]]
[[Image:Fuzûlî.jpg|thumb|150px|Fuzûlî (1483?–1556)]]


Mstari 18: Mstari 18:
==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==
*[http://www.kerkukfeneri.com/haber_detay.asp?haberID=30 FUZULİ]
*[http://www.kerkukfeneri.com/haber_detay.asp?haberID=30 FUZULİ]
*[http://literature.aznet.org/literature/fizuli/fizuli_en.htm Muhammed Fuzuli]—a website with a brief biography and translated selections from ''Leylî vü Mecnûn''
*[http://literature.aznet.org/literature/fizuli/fizuli_en.htm Muhammed Fuzuli] tovuti itoayo wasifu fupi na sehemu zilizotafsiriwa kutoka shairi la ''Leylî vü Mecnûn''
*[http://books.google.com/books?vid=ISBN0521291631&id=UVmsI0P9RDUC&pg=PA149&lpg=PA149&dq=fuzuli%2Bturkish&sig=O2wM674wFZ_P7RQt2IqMzl_Hz8I Fuzûlî] in Stanford J. Shaw's ''History of the Ottoman Empire and Modern Turkey''
*[http://books.google.com/books?vid=ISBN0521291631&id=UVmsI0P9RDUC&pg=PA149&lpg=PA149&dq=fuzuli%2Bturkish&sig=O2wM674wFZ_P7RQt2IqMzl_Hz8I Fuzûlî] katika kitabu cha Stanford J. Shaw: ''History of the Ottoman Empire and Modern Turkey'' ('''''en''''')


{{BD|1480|1556|Fuzuli}}
{{BD|1480|1556|Fuzuli}}
[[Category:Watu wa Uturuki]]
[[Category:Washairi wa Uturuki]]
[[Category:Washairi]]


<!-- interwiki -->
<!-- interwiki -->

Pitio la 17:59, 7 Oktoba 2009

Kwa eneo la utawala nchini Azerbaijan, angalia Fizuli.
Fuzûlî (1483?–1556)

Fuzuli (Kar./Kituruki فضولی) ilikuwa jina la kisanii la mshairi Muhammad bin Suleyman oğlu Füzuli (Kar. محمد بن سليمان) (takriban 14951556). Alikuwa mshairi mashuhuri wa Milki ya Osmani aliyeandika kwa lugha za Kituruki, Kiajemi na Kiarabu. Kituruki chake kilikuwa cha Kiazeri. Alikuwa pia mtaalamu wa hisabati na na falaki.

Fuzuli alizaliwa mnamo 1483 au 1495 katika eneo la Iraq ya leo ama mjini Najaf au Karbala. Familia yake ilitoka katika kabila ya Waturuki wahamiaji waliowahi kukaa mjini kwa vizazi kadhaa. Alipata elimu nzuri. Hakuna habari zaidi zenye uhakika juu ya maisha yake isipokuwa alikufa kutokana na ugonjwa wa kuambukizwa.

Mashairi yake yamehifadhiwa yakihesabiwa kati ya mifano bora ya mashairi ya Kituruki wa wakati wake. Aliandika mengi juu ya mapenzi lakini pia beti za kupinga makosa ya umma kwa mfano ufisafi:

سلام وردم رشوت دگلدر ديو آلمادىلر
Selâm verdim rüşvet değildir deyü almadılar.[1]
Nilisema "salaam" lakini hawakukubali kwa sababu haikuwa hongo.


Ukurasa kutoka mashairi yake Fuzuli


Viungo vya Nje

  • FUZULİ
  • Muhammed Fuzuli — tovuti itoayo wasifu fupi na sehemu zilizotafsiriwa kutoka shairi la Leylî vü Mecnûn
  • Fuzûlî katika kitabu cha Stanford J. Shaw: History of the Ottoman Empire and Modern Turkey (en)


Kigezo:Link FA

  1. Kudret 189