Tofauti kati ya marekesbisho "Thriller"

Jump to navigation Jump to search
5,929 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
== Athira na urithi wake ==
=== Soko la muziki ===
===MizikiMuziki yawa video na usawa kirangi===
Kabla ya mafanikio ya ''Thriller'', wengi walihisi kwamba Jackson ametaabika sana kupata kupigiwa nyimbo zake kwenye [[MTV]] kwa sababu alikuwa mtu mweusi.<ref name=autogenerated3>{{cite web |url=http://www.blender.com/guide/articles.aspx?ID=1777 |title=Michael Jackson, "Billy Jean: |accessdate=April 11, 2007 |work=''Blender''}}</ref> Wakati anafanya juhudi za kupata kupigwa nyimbo za Jackson, Rais wa [[Columbia Records|CBS Records]] Bw. [[Walter Yetnikoff]] akawasukuma MTV ili wampigie nyimbo zake na kutangaza, "Sikupi tena video yoyote ile na naenda kusema mbele ya hadhara na kudadadeki zenu na kuwaambia ukweli kwamba hamtaki kupiga nyimbo za washikaji weusi".
 
Nafasi yake ikatoa msukumo kwa MTV kuanza kupiga wimbo wa "[[Billie Jean]]" na baadaye "[[Beat It]]", ambayo ilileta ujamaa na baadaye kusaidia wasanii wengine weusi wa muziki kupata ule mkondo wa kufahamika.<ref name= "Jackson changes the rules of the music video">{{cite web |first=Edna |last=Gundersen |url=http://www.usatoday.com/life/television/news/2005-08-25-mtv_x.htm
|title=music videos changing places |publisher=''USA Today'' |date=August 25, 2005|accessdate=April 6, 2008}}</ref> MTV wamekana madai hayo ya ubaguzi wa rangi katika urushaji wa matangazo yao.<ref>[http://findarticles.com/p/articles/mi_m1355/is_14_110/ai_n16807343/ Why it took MTV so long to play black music videos | Jet | Find Articles at BNET<!-- Bot generated title -->]</ref> Umaarufu wa video zake, kama vile "Beat It" na "Billie Jean", umesaidia idhaa ndogo-ndogo "kwenye ramani", na MTV wakazingatia kujikita katika pop na R&B.<ref name= "Jackson changes the rules of the music video"/><ref name=ABCNews>{{cite web |url=http://abcnews.go.com/Entertainment/LegalCenter/story?id=464753&page=1|title=Why Are Michael Jackson's Fans So Devoted? |publisher=ABC News |date= February 23, 2005 |accessdate=April 6, 2007}}</ref>
[[Image:Mjthriller.jpg‎|230px|thumb|left|Jackson katika mapinduzi ya video ya ''Thriller'']]
 
Jackson amebadilisha ukati wa [[muziki wa video]] kwa aina ya sanaa ya uendelezaji yakinifu kwa kuweka mstari wa hadithi tata, utaratibu wa kucheza, vionjo maalumu na kuuzisha sura watu maarufu katika video zake.<ref name=allmusic>{{cite web|last=Huey|first=Steve|title=Michael Jackson - Biography|url=http://www.allmusic.com/cg/amg.dll?p=amg&sql=11:kifuxqe5ldae~T1 |publisher=Allmusic |accessdate=November 11, 2006}}</ref> Wakati urefu wa dakika 14 za video ya ''[[Thriller (video)|Thriller]]'', MTV wanaipiga mara mbili kwa saa ili kufikia matakwa ya watazamaji.<ref name="tara 270–271">Taraborrelli, pp. 270–271</ref> Filamu fupi imewekewa alama ya ongezeka la uzani wa muziki wa video na ulikuwa umewekewa utaratibu wa kuitwa muziki bora wa video ambao haukuwahi kufanywa hapo awali.<ref name=autogenerated2>{{cite web |url=http://www.vh1.com/artists/az/jackson_michael/bio.jhtml |title=Michael Jackson |publisher=VH1 |accessdate=February 22, 2007}}</ref> Umaarufu kwa muziki wa video umerejesha albamu nyuma hadi kufikia kiwango cha kuwa namba moja kwenye chati, lakini studio ya Jackson haikuunga mkono toleo la tatu la wimbo wa video kutoka katika albamu. Walikuwa tayari weshalizika na mafanikio walioyapata, kwa hiyo Jackson akawashawishi MTV wamlipe kazi yake.<ref name="Thriller cast interview"/><ref name="tara 270–271"/>
 
Mtunzi wa vitabu, na mwandishi wa ukosoaji wa muziki [[Nelson George]] aliandika mwaka 2004, "Ni vugumu sana kusikia nyimbo kwenye ''Thriller'' na kuzitoa kwenye mavideo yake. Wengi wetu picha peke yake inaelezea wimbo. Kiukweli ingekuwa mabishano ya kwamba Michael ni msanii wa kwanza wa MTV kuwa picha kamili ya albamu yake yote na kuuteka fikra za watu kwa mtazamo wake". Filamu fupi kama ''Thriller'' inabaki kuwa kama mtindo pekee kwa Jackson, wakati mlolongo zima wa kikundi cha kucheza cha kwenye "Beat It" kimekuwa kikigezewa mara kwa mara na watu wengine.
 
Uchezaji wa muziki uliochezwa kwenye ''Thriller'' umekuwa utamaduni ambao mashuhuri sana ulimweunguni, umegezewa kila mahali huko [[India]] na katika majela kadhaa ya huko nchni [[Ufilipino]].<ref name="PrisonersDance">{{cite web |url=http://thewrongadvices.com/lazy-monkey/1500-prisoners-perform-thriller-dance/ |title=1500 Prisoners Perform Thriller Dance |publisher=The Wrong Advices |date=July 21, 2007 |accessdate=April 5, 2008}}</ref><ref name="Thriller music video in bollywood">{{cite web |url=http://www.tmz.com/2006/10/03/jacko-goes-bollywood/ |title=Jacko goes bollywood |publisher=TMZ.com |date=October 3, 2006 |accessdate=April 8, 2008}}</ref>
 
Kwa msanii ambaye ni mweusi kwa miaka ya 1980 kufikia kiwango hicho, mafanikio ya Jackson yalikuwa ya kipekee. Kwa mujibu wa ''The Washington Post'', ''Thriller'' imesafisha njia ya mafanikio kwa Waafrika-Waamerika wengie kama vile [[Prince]].<ref name=WashPost1>{{cite news | first= Richard | last= Harrington | title= Prince & Michael Jackson: Two Paths to the Top of Pop |date=October 1988 | publisher= ''The Washington Post'' | url= http://pqasb.pqarchiver.com/washingtonpost/access/73636369.html?dids=73636369:73636369&FMT=ABS&FMTS=ABS:FT&date=Oct+9%2C+1988&author=Richard+Harrington&pub=The+Washington+Post+(pre-1997+Fulltext)&edition=&startpage=g.01&desc=Prince+%26+Michael+Jackson%3A+Two+Paths+to+the+Top+of+Pop | accessdate= May 21, 2007}}</ref> Wimbo wa "The Girl Is Mine" ulipata kete nyingi kwa kupata wapenzi wengi wa rangi tofauti kupitia redio, yaani, Wazungu na Weusi.<ref name="Christgau Thriller review">{{cite web |first=Robert |last=Christgau |url=http://www.robertchristgau.com/get_artist.php?id=932
|title=Robert Christgau: Artist 932 |publisher=Robert Christgau.com |accessdate=June 27, 2008}}</ref> Gazeti la ''Time'' lilieleza, "Jackson ni kitu kikubwa sana tangu hapo [[The Beatles]]. Yeye ni msanii pekee kwa upande wa wasanii wa kujitegemea tangu hapo alipokuwa [[Elvis Presley]]. Anaweza kuwa mwimbaji maarufu sana milele kwa upande wa waimbaji Weusi".
 
== Orodha ya nyimbo ==
{{tracklist

Urambazaji