Tofauti kati ya marekesbisho "Mkataba wa Versailles"

Jump to navigation Jump to search
7 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Badiliko: sl:Versajski sporazum; cosmetic changes
d (roboti Badiliko: sl:Versajski sporazum; cosmetic changes)
[[Image:Ujerumani 1919.PNG|thumb|350px|Maeneo yaliyotengwa na Ujerumani kwa Mkataba wa Versailles:<br />1. Schleswig Kaskazini kwa Denmark; 2. Posen Prussia Magharibi kwa Poland;
3. Dola-mji Danzig; 4. Eneo la Memel kwa Lithuania;
5. Silesia ya Juu kwa Poland;
6. Eeno la Hulchin kwa Chekoslovakia;
7. Alsasi-Lorrain kwa Ufaransa;
8. Eupen na Malmedy kwa Ubelgiji]]
 
'''Mkataba wa Versailles''' ulikuwa mapatano ya kimataifa ya kumaliza [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] (1914 - 1918) upande wa [[Ujerumani]]. Mapatano yote yalifikiwa kati ya mataifa washindi pekee na serikali ya Ujerumani ilipaswa kuikubali mwishowe. Ujerumani ikatia sahihi kwa malalamiko lakini ilitishiwa ya kwamba wanajeshi wa washindi wangeingia Ujerumani.
 
== Washiriki wa Mkataba ==
Nchi shiriki za mkataba zilikuwa pamoja na Ujerumani hasa [[Uingereza]], [[Ufaransa]] na [[Marekani]] zilizoitwa "Watatu wakubwa" pamoja na [[Italia]] na [[Japani]].
 
Nchi nyengine upande wa washindi waliotia sahihi lakini hazikuwa na athira katika mapatano yalikuwa [[Ubelgiji]], [[Bolivia]], [[Brazil]], [[China]], [[Kuba]], [[Ekuador]], [[Ugiriki]], [[Guatemala]], [[Haiti]], [[Ufalme wa Hijaz]] (Uarabuni), [[Honduras]], [[Liberia]], [[Nikaragua]], [[Panama]], [[Peru]], [[Poland]], [[Ureno]], [[Romania]], Ufalme wa [[Yugoslavia]], [[Uthai]], [[Chekoslovakia]] na [[Uruguay]].
 
== Masharti ==
Mashariti ya mkataba yalikuwa makali. Ujerumani ilipaswa kukubali ya kwamba ilikuwa na kosa lote kwa vita na kuwa inadaiwa kulipa fidia kwa washindi.
 
Kwa jumla Ufaransa ililenga kuwapa Wajerumani masharti makali sana; Waingereza walitaka kuwa na Ujerumani yenye nguvu ya kiuchumi lakini bila uwezo wa kijeshi; Marekani ilitaka amani ya kudumu.
 
=== Maeneo yaliyotengwa na Ujerumani ===
*[[Koloni]] zote zikigawiwa kwa Uingereza, Ufaransa, Marekani na [[Japani]] kama [[maeneo ya kudhaminiwa]] chini ya mamlaka ya [[Shirikisho la Mataifa]]
*Majimbo ya [[Alsasi]] na Lorrain yakapelekwa Ufaransa
* Eneo la Eupen-Malmedy likapelekwa Ubelgiji
 
=== Masharti ya kijeshi ===
Ujerumani ilipaswa kupunguza jeshi lake hadi idadi ya wanajeshi 100,000, kubomoa [[manowari]] kubwa na kufuta [[nyambizi]] zake zote. Eropleni za kijeshi zilikuwa marufuku kwa Ujerumani.
 
=== Masharti ya kiuchumi ===
Ujerumani ilipaswa kukubali kulipa fidia kubwa kwa hasara zilizotokea kwa nchi washindi kutokana na vita.
Kiwango cha fidia hii kilipangwa kuwa [[Mark]] bilioni 132 zilizotakiwa kulipwa hadi 1984.
 
=== Matatizo ya baadaye ===
Wataalamu wengi huona ya kwamba masharti haya makali yalikuwa sababu kuu ya matatizo ya kiuchumi ya Ujerumani yaliyosababisha
hali ya kisiasa na kijamii iliyoleta ushindi wa chama cha [[NSDAP]] cha [[Adolf Hitler]] baada ya 1930.
 
=== [[Shirikisho la Mataifa]] ===
Sehemu ya mkataba iliunda Shirikisho la Mataifa lililotakiwa kuzia vita zijazo.
 
[[CategoryJamii:Mikataba ya Kimataifa|Versailles]]
[[CategoryJamii:Historia ya Ulaya]]
[[CategoryJamii:Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]
 
<!-- interwiki -->
[[simple:Treaty of Versailles]]
[[sk:Versaillská mierová zmluva]]
[[sl:VersajskaVersajski pogodbasporazum]]
[[sr:Версајски споразум]]
[[sv:Versaillesfreden]]
44,010

edits

Urambazaji