Hifadhi ya Serengeti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: is Ondoa: bg, ca, cs, da, de, nl, simple
Mstari 18: Mstari 18:
[[Category:Hifadhi la Taifa Tanzania]]
[[Category:Hifadhi la Taifa Tanzania]]


[[bg:Серенгети]]
[[ca:Serengueti]]
[[cs:Serengeti]]
[[da:Serengeti]]
[[de:Serengeti]]
[[en:Serengeti National Park]]
[[en:Serengeti National Park]]
[[es:Parque Nacional Serengueti]]
[[es:Parque Nacional Serengueti]]
Mstari 28: Mstari 23:
[[fr:Parc national du Serengeti]]
[[fr:Parc national du Serengeti]]
[[he:פארק לאומי סרנגטי]]
[[he:פארק לאומי סרנגטי]]
[[is:Serengeti-þjóðgarðurinn]]
[[it:Parco nazionale del Serengeti]]
[[it:Parco nazionale del Serengeti]]
[[ja:セレンゲティ国立公園]]
[[ja:セレンゲティ国立公園]]
[[ko:세렝게티 국립공원]]
[[ko:세렝게티 국립공원]]
[[nl:Serengeti]]
[[no:Serengeti nasjonalpark]]
[[no:Serengeti nasjonalpark]]
[[pl:Park Narodowy Serengeti]]
[[pl:Park Narodowy Serengeti]]
Mstari 37: Mstari 32:
[[ro:Parcul Naţional Serengeti]]
[[ro:Parcul Naţional Serengeti]]
[[ru:Национальный парк Серенгети]]
[[ru:Национальный парк Серенгети]]
[[simple:Serengeti]]
[[sl:Narodni park Serengeti]]
[[sl:Narodni park Serengeti]]
[[sv:Serengeti nationalpark]]
[[sv:Serengeti nationalpark]]

Pitio la 08:04, 24 Septemba 2009

Puna milia mbele nyumbu maelfu katika Serengeti
Ramani ya Tanzania Kaskazini pamoja na Serengeti


Hifadhi ya Serengeti ni eneo kubwa la savana na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya Mara na Arusha ikipakana na Kenya. Eneo lake ni 14,763 km² na kijiografia inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa Hifadhi ya Masai Mara.

Kuna idadi kuba ya wanyama wa pori. Serengeti pamoja na Masai Mara inajulikana hasa kwa uhamisho wa kila mwaka wa zaidi ya milioni moja ya nyumbu wanaovuka mto Mara. Kuna pia aini nyingi nyingine za wanyama kati yao "watano wakubwa" wanaovuta watalii hasa yaani tembo, simba, [[chui] fisi, kifaru na nyati.

Eneo la hifadhi ya Ngorongoro liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. Bonde la Olduvai ambako mabaki ya wanaadamu wa kale kabisa yalipatikana liko ndani ya Serengeti.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: