Salvador Dali : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sah:Салвадор Дали |
d roboti Nyongeza: fy:Salvador Dalí, pms:Salvador Dalí |
||
Mstari 49: | Mstari 49: | ||
[[fi:Salvador Dalí]] |
[[fi:Salvador Dalí]] |
||
[[fr:Salvador Dalí]] |
[[fr:Salvador Dalí]] |
||
[[fy:Salvador Dalí]] |
|||
[[ga:Salvador Dalí]] |
[[ga:Salvador Dalí]] |
||
[[gan:答利]] |
[[gan:答利]] |
||
Mstari 86: | Mstari 87: | ||
[[pam:Salvador Dali]] |
[[pam:Salvador Dali]] |
||
[[pl:Salvador Dalí]] |
[[pl:Salvador Dalí]] |
||
[[pms:Salvador Dalí]] |
|||
[[pt:Salvador Dalí]] |
[[pt:Salvador Dalí]] |
||
[[qu:Salvador Dalí]] |
[[qu:Salvador Dalí]] |
Pitio la 06:00, 21 Septemba 2009
Salvador Dali (11 Mei 1904 - 23 Januari 1989) aliitwa kwa jina la kiraia Salvador Felipe Jacinto Dalí Domènech alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania katika karne ya 20. Alifahamika zaidi kwa taswira zake katika mtindo wa usurealisti lakini alikuwa pia mwandishi, mchongaji na mwigaji wa maigizo.
Picha zake zilionyesha mara nyingi ndoto, malevi, homa na maono. Mara kwa mara alimwingiza mke wake Gala ndani ya taswira.
Kati ya wasanii muhimu wa Hispania wa karne ya 20 alikuwa mmoja wa wachache waliompenda dikteta Jenerali Francesco Franco. Alipingwa mara nyingi kwa msimmao huu wa kisiasa.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Salvador Dali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |