Tofauti kati ya marekesbisho "Stranger in Moscow"

Jump to navigation Jump to search
7 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Badiliko: sr:Stranger in Moscow; cosmetic changes
(Created page with '{{Infobox Single | Jina = Stranger in Moscow | Cover = Stranger In Moscow.jpg | Msanii = Michael Jackson | Albamu = [[HIStory|HIStory - Past, ...')
 
d (roboti Badiliko: sr:Stranger in Moscow; cosmetic changes)
"'''Stranger in Moscow'''" ni single ya tano na ya mwisho kutoka katika albamu ya [[Michael Jackson]] ya ''[[HIStory]]''. Wimbo huu ulikuja kutolewa dunia nzima kunako mwezi wa Novemba katika mwaka wa 1996, lakini ukawa haujatolewa nchini Marekani hadi hapo ilipofika mwezi wa Agosti katika mwaka wa 1997. Wimbo huu ulitungwa na Jackson mnamo mwaka wa 1993, wakati wa kilele cha kashfa na shutuma za udhalilishaji wa watoto ambayo yaliyomkumba mnamo mwaka huo, akiwa kwenye [[Dangerous World Tour|ziara]] yake kule mjini [[Moscow]]. Katika wimbo huu, Jackson anaimba kwa huzuni mkubwa kabisa na kudai hadhi yake imemwacha mpweke, katengwa, kuvurugwa na kuchanganyikiwa kabisa.
 
== Chati ==
{| class="wikitable sortable"
!align="left"|Chati (1996)
|}
 
== Orodha ya nyimbo ==
'''U.S. Single'''
# Stranger In Moscow - 5:37
# Off The Wall (Junior Vasquez Radio Mix) - 5:15
 
== Tanbihi ==
{{Reflist}}
 
== Marejeo ==
*{{cite book|last=Campbell|first=Lisa|title=Michael Jackson: The King of Pops Darkest Hour|publisher=Branden|year=1995|isbn=0828320039}}
*[[Nelson George|George, Nelson]] (2004). ''[[Michael Jackson: The Ultimate Collection]]''. [[Sony BMG]].
[[fr:Stranger in Moscow]]
[[it:Stranger in Moscow]]
[[nl:Stranger in Moscow]]
[[ja:ストレンジャー・イン・モスクワ]]
[[nl:Stranger in Moscow]]
[[pl:Stranger in Moscow]]
[[pt:Stranger in Moscow]]
[[sr:Stranger Inin Moscow]]
[[sv:Stranger in Moscow]]
[[tr:Stranger in Moscow]]
44,023

edits

Urambazaji