Tofauti kati ya marekesbisho "John Fisher"

Jump to navigation Jump to search
103 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
'''John Fisher''' au ''John wa Rochester'' ([[1469]] – [[22 Juni]], [[1535]]) alikuwa [[askofu]] wa [[Kanisa Katoliki]] kule [[Uingereza]].
 
Pamoja na [[Thomas More]], alimkataa mfalme [[Henry VIII]] aliyejitenga na Kanisa la [[Roma]]. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Kabla ya hapo [[Papa Paulo III]] alimteua kuwa [[kardinali]].
 
Mwaka 1935 alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni [[22 Juni]] katika Kanisa Katoliki, na [[6 Julai]] katika Kanisa [[Anglikana]].
{{DEFAULTSORT:Fisher, John}}
[[Category:Watakatifu wa Uingereza]]
[[Category:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Makardinali]]
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]]
 

Urambazaji