Fransisko wa Paola : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ca:Francesc de Paula
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]]
[[Picha:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]]
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' ({{lang|it|Francesco di Paola}}, [[1416]] – [[1507]]) alikuwa [[mtawa]] nchini [[Italia]]. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni [[2 Aprili]].
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' (kwa [[Kiitalia]] Francesco di [[Paola]]}, [[1416]] – [[1507]]) alikuwa [[mtawa]] nchini [[Italia]].
Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtakatifu]]. [[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[2 Aprili]] kila mwaka.


== Maisha ==
== Maisha ==
Fransisko alizaliwa katika mji wa [[Paola]], mkoa wa [[Kalabria]], [[Italia]], mwaka wa 1416. Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye lilibadilisha na kuwa [[Utawa wa Wadogo Kabisa]], na likapata kibali kutoka kwa Papa mwaka wa 1506. Fransisko alikufa mwaka wa 1507 huko [[Tours]], [[Ufaransa]].
Fransisko alizaliwa kwa [[muujiza]] katika mji wa [[Paola]], mkoa wa [[Kalabria]], [[Italia]], mwaka 1416. Wazazi wake walikuwa wamefikia uzee bila ya kuweza kuzaa, lakini walimuomba [[Fransisko wa Asizi]] na kuweka nadhiri kuwa mtoto wao ataitwa Fransisko. Ndipo walipojaliwa kuzaa.

Tangu [[utoto]]ni alishika maisha magumu ya [[sala]] na [[toba]] upwekeni.

Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye likawa [[Utawa wa Wadogo Kabisa]], likapata kibali kutoka kwa [[Papa]] mwaka 1506. Pamoja na kuahidi [[mashauri ya Kiinjili]] matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kama wakati wa [[Kwaresima]].

[[Kanuni]] yake ni ya pekee, ingawa inafuata ile ya [[Ndugu Wadogo]] ikiiongezea malipizi makali ya [[mababu wa jamgwani]].

Kauli-mbiu yake ilikuwa neno "caritas" (kwa [[Kilatini]], "upendo").

Fransisko alikufa mwaka 1507 huko [[Tours]], [[Ufaransa]] alipokuwa ametumwa na Papa.


== Tazama pia ==
== Tazama pia ==
Mstari 14: Mstari 26:
{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}


[[Jamii:Watakatifu Wakristo]]
[[Jamii:Watakatifu wa Italia]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1416]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1416]]
[[Jamii:Waliofariki 1507]]
[[Jamii:Waliofariki 1507]]
[[Jamii:Watawa waanzilishi]]
[[Jamii:Waminimi]]


[[ca:Francesc de Paula]]
[[ca:Francesc de Paula]]

Pitio la 08:32, 30 Agosti 2009

Mtakatifu Fransisko wa Paola (kwa Kiitalia Francesco di Paola}, 14161507) alikuwa mtawa nchini Italia.

Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu. [[[Sikukuu]] yake ni tarehe 2 Aprili kila mwaka.

Maisha

Fransisko alizaliwa kwa muujiza katika mji wa Paola, mkoa wa Kalabria, Italia, mwaka 1416. Wazazi wake walikuwa wamefikia uzee bila ya kuweza kuzaa, lakini walimuomba Fransisko wa Asizi na kuweka nadhiri kuwa mtoto wao ataitwa Fransisko. Ndipo walipojaliwa kuzaa.

Tangu utotoni alishika maisha magumu ya sala na toba upwekeni.

Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye likawa Utawa wa Wadogo Kabisa, likapata kibali kutoka kwa Papa mwaka 1506. Pamoja na kuahidi mashauri ya Kiinjili matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kama wakati wa Kwaresima.

Kanuni yake ni ya pekee, ingawa inafuata ile ya Ndugu Wadogo ikiiongezea malipizi makali ya mababu wa jamgwani.

Kauli-mbiu yake ilikuwa neno "caritas" (kwa Kilatini, "upendo").

Fransisko alikufa mwaka 1507 huko Tours, Ufaransa alipokuwa ametumwa na Papa.

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1328


Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.