Adalbert wa Magdeburg : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
mbegu-Mkristo
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Adalbert of Magdeburg.jpg|200px|thumb|Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg]]
[[Image:Adalbert of Magdeburg.jpg|200px|thumb|Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg]]


'''Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg''' (alifariki tarehe [[20 Juni]], [[981]]) alikuwa [[askofu mkuu]] wa kwanza wa mji wa [[Magdeburg]], [[Ujerumani]].
'''Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg''' (alifariki tarehe [[20 Juni]], [[981]]) alikuwa [[mmisionari]] na [[askofu mkuu]] wa kwanza wa mji wa [[Magdeburg]], [[Ujerumani]].


Ametambuliwa kuwa mtakatifu.
Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe [[20 Juni]].

Sikukuu yake ni [[20 Juni]].


==Maisha==
==Maisha==
Mstari 28: Mstari 26:
* [http://www.highbeam.com/doc/1O100-AdalbertofMagdeburg.html http://www.highbeam.com/doc/1O100-AdalbertofMagdeburg.html]
* [http://www.highbeam.com/doc/1O100-AdalbertofMagdeburg.html http://www.highbeam.com/doc/1O100-AdalbertofMagdeburg.html]


[[Category:Watakatifu Wakristo]]
[[Category:Watakatifu wa Ujerumani]]
[[Category:Waliofariki 981]]
[[Category:Waliofariki 981]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]


{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}

Pitio la 04:56, 30 Agosti 2009

Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg

Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg (alifariki tarehe 20 Juni, 981) alikuwa mmisionari na askofu mkuu wa kwanza wa mji wa Magdeburg, Ujerumani.

Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 20 Juni.

Maisha

Adalbert alizaliwa Ujerumani na kuwa mtawa katika mji wa Trier.

Baada ya kuwekwa wakfu kama askofu, mwaka 961 alitumwa mjini Kiev (Ukraine) kama mmisionari.

Kundi lake lote liliuawa, naye peke yake aliweza kurudi Ujerumani.

Baadaye aliteuliwa kuwa askofu mkuu wa dayosisi ya Magdeburg.

Alianzisha madayosisi mapya pengi upande wa Mashariki wa Ujerumani, kama katika miji ya Naumburg, Meißen, Merseburg, Brandenburg, Havelberg, na Poznan.

Mwanafunzi wake mmoja aliyetangazwa kuwa mtakatifu kama yeye ni Adalbert wa Praha.

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.