Frati : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Euprates
d roboti Nyongeza: jv:Kali Eufrat; cosmetic changes
Mstari 24: Mstari 24:
Frati ina urefu wa takriban 2,781 km. Baada ya kutoka katika nyanda za juu za Uturuki inaingia katika tambarare ya [[jangwa la Shamu]] na kuendelea katika Iraq inapopita kwenye maghofu ya [[Babeli]]. Karibu na mji wa [[Basra]] mto unaungana na mto [[Hidekeli]] na kuitwa [[Shatt al Arab]] hadi mdomo wake katika [[Ghuba ya Uajemi]].

[[Image:Bassin Tigre Euphrate.jpg|thumb|left|350px|Malambo kwenye Frati ''(Euphrate)'' na Hidekeli ''(Tigre)'']]
[[Picha:Bassin Tigre Euphrate.jpg|thumb|left|350px|Malambo kwenye Frati ''(Euphrate)'' na Hidekeli ''(Tigre)'']]
Mto Frati unapita katika maeneo makavu hivyo nchi zote unapopita zianjaribu kutumia maji yake kwa vituo vya kuvuta maji na malambo mbalimbali yaliyounda maziwa makubwa.
Mto Frati unapita katika maeneo makavu hivyo nchi zote unapopita zianjaribu kutumia maji yake kwa vituo vya kuvuta maji na malambo mbalimbali yaliyounda maziwa makubwa.

{{mbegu-jio-Asia}}
{{mbegu-jio-Asia}}

[[Category:Mito ya Iraq]]
[[Jamii:Mito ya Iraq]]
[[Category:Mito ya Asia]]
[[Jamii:Mito ya Asia]]
[[Category:Mito ya Syria]]
[[Jamii:Mito ya Syria]]
[[Category:Mito ya Uturuki]]
[[Jamii:Mito ya Uturuki]]
[[Category:Mesopotamia]]
[[Jamii:Mesopotamia]]
[[Jamii:Ghuba ya Uajemi]]
[[Jamii:Ghuba ya Uajemi]]
[[Category:Mahali pa Biblia]]
[[Jamii:Mahali pa Biblia]]

[[am:ኤፍራጥስ ወንዝ]]
[[am:ኤፍራጥስ ወንዝ]]
Mstari 71: Mstari 71:
[[it:Eufrate]]
[[it:Eufrate]]
[[ja:ユーフラテス川]]
[[ja:ユーフラテス川]]
[[jv:Kali Eufrat]]
[[ko:유프라테스 강]]
[[ko:유프라테스 강]]
[[ku:Firat]]
[[ku:Firat]]

Pitio la 05:28, 29 Agosti 2009

Mto Frati
Frati karibu na mji wa Raqqa / Syria
Chanzo Uturuki ya Mashariki
Mdomo Ghuba ya Uajemi kwenye Shatt al Arab
Nchi Uturuki, Syria, Iraq
Urefu 2,800 km
Kimo cha chanzo 4,500 m
Tawimito Murat, Karasu
Mkondo 818 m³/s (wastani)
Eneo la beseni 765,831 km²
Miji mikubwa kando lake Ramadi, Falluja, Babeli

Mto Frati (Kigiriki: Ευφράτης euphrátēs; Kiakkadi: Pu-rat-tu; Kiebrania: פְּרָת Pĕrāth; Kiaramu: ܦܪܬ Prâth; Kar.: الفرات al-furāt; Kituruki: Fırat; Kikurdi: فرهات, Firhat) ni mto mkubwa wa Asia ya magharibi. Pamoja na Hidekeli inatoka katika milima ya Uturuki ya Mashariki na kuunda eneo la Mesopotamia katika Iraq.

Katika Biblia imetajwa kama mto mmojawapo wa paradiso.

Frati ina urefu wa takriban 2,781 km. Baada ya kutoka katika nyanda za juu za Uturuki inaingia katika tambarare ya jangwa la Shamu na kuendelea katika Iraq inapopita kwenye maghofu ya Babeli. Karibu na mji wa Basra mto unaungana na mto Hidekeli na kuitwa Shatt al Arab hadi mdomo wake katika Ghuba ya Uajemi.

Malambo kwenye Frati (Euphrate) na Hidekeli (Tigre)

Mto Frati unapita katika maeneo makavu hivyo nchi zote unapopita zianjaribu kutumia maji yake kwa vituo vya kuvuta maji na malambo mbalimbali yaliyounda maziwa makubwa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Frati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.