Kigali : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: wo:Kigali
No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:


}}
}}
'''Kigali''' ni [[mji mkuu]] wa [[Rwanda]] pia mji mkubwa nchini.
'''Kigali''' ni [[mji mkuu]] wa [[Rwanda]] na pia mji mkubwa kuliko mingine yote nchini.


Iko karibu sana na mstari wa [[ikweta]] kwenye kimo cha 1400 - 1600 [[m]] juu ya [[UB]]. Hali ya hewa ni ya wastani hakuna baridi kali wala joto kali.
Iko karibu sana na mstari wa [[ikweta]] kwenye kimo cha 1400 - 1600 [[m]] juu ya [[UB]]. Hali ya hewa ni ya wastani hakuna baridi kali wala joto kali.
Mstari 31: Mstari 31:


== Mawasiliano ==
== Mawasiliano ==
Kigali ina kiwanja ccha kimataifa cha ndege. Kuna barabara kwenda Burundi na Uganda.
Kigali ina uwanja wa ndege wa kimataifa uitwao Kigali International Airport. Kuna barabara kwenda Burundi na Uganda.
Bildung
Bildung



Pitio la 11:11, 25 Agosti 2009


Jiji la Kigali
Nchi Rwanda
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 600 000

Kigali ni mji mkuu wa Rwanda na pia mji mkubwa kuliko mingine yote nchini.

Iko karibu sana na mstari wa ikweta kwenye kimo cha 1400 - 1600 m juu ya UB. Hali ya hewa ni ya wastani hakuna baridi kali wala joto kali.

Kigali ina wakazi 600,000.

Historia

Kigali ilianzishwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwaka 1907 kama kituo cha mwakilishi wa Afrika ya Masharikiy a Kijerumani Richard Kandt. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ilivamiwa na Wabelgiji ikawa sehemu ya eneo la kukabidhiwa la Ruanda-Urundi chini ya utawala wa Ubelgiji.

Baada ya kugawa kwa Ruanda-Urundi kuwa nchi mbili za Rwanda na Burundi Kgali ikawa mji mkuu wa Rwanda mwaka 1962.

Mauaji ya Watutsi ya mwaka 1994 yalianza Kigali. Mji ulipungukiwa wakazi 100,000 wakati ule.

Uchumi

Misingi ya uchumi ya Kigali ni biashara ya kahawa, mifugo na stani.

Mawasiliano

Kigali ina uwanja wa ndege wa kimataifa uitwao Kigali International Airport. Kuna barabara kwenda Burundi na Uganda. Bildung