Kimondo cha Mbozi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with 'KIMONDO CHA MBOZI Kimondo ambacho kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kialianguka katika kilima cha Mlenje, wilayani Mbozi katika mkoa wa Mbeya Tanzania. Kina maumbil…'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kimondo cha Mbozi''' ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na kijiji cha Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]].
KIMONDO CHA MBOZI

Kimondo ambacho kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kialianguka katika kilima cha Mlenje, wilayani Mbozi katika mkoa wa Mbeya Tanzania.
Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana Ulimwengunikwa kuwa hiki ni cha Chuma
Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni cha chuma.

==Viungo vya Nje==
*[http://www.jambonetwork.com/blog/?p=4430 Ujumbe wa blogu kuhusu Kimondo cha Mbozi]
*'''''(de)''''' [http://www.sternwarte-singen.de/meteoriten_gross_mbozi1.htm Makala kuhusu Kimondo cha Mbozi kwa Kijerumani]

[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]
[[Jamii:Gimba la angani]]

Pitio la 14:46, 24 Agosti 2009

Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na kijiji cha Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, wilayani Mbozi katika mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni cha chuma.

Viungo vya Nje