Lindi (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
ramani |
|||
Mstari 2: | Mstari 2: | ||
|jina_rasmi = Jiji la Lindi |
|jina_rasmi = Jiji la Lindi |
||
|picha_ya_satelite = Lindi.jpg |
|picha_ya_satelite = Lindi.jpg |
||
|pushpin_map = Tanzania |
|||
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Lindi katika Tanzania |
|||
|settlement_type = Jiji |
|settlement_type = Jiji |
||
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]] |
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]] |
||
Mstari 7: | Mstari 9: | ||
|subdivision_type1 = [[:Jamii:Mikoa ya Tanzania|Mkoa]] |
|subdivision_type1 = [[:Jamii:Mikoa ya Tanzania|Mkoa]] |
||
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Lindi|Lindi]] |
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Lindi|Lindi]] |
||
|subdivision_type2 = [[Wilaya]] |
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]] |
||
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Lindi Mjini|Lindi Mjini]] |
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Lindi Mjini|Lindi Mjini]] |
||
|wakazi_kwa_ujumla = |
|wakazi_kwa_ujumla = |
||
|latd=10 |latm=0 |lats=0 |latNS=S |
|||
|longd=39 |longm=42 |longs=0 |longEW=E |
|||
|website = |
|website = |
||
Pitio la 02:12, 20 Agosti 2009
Jiji la Lindi | |
Mahali pa mji wa Lindi katika Tanzania |
|
Majiranukta: 10°0′0″S 39°42′0″E / 10.00000°S 39.70000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Lindi |
Wilaya | Lindi Mjini |
Lindi ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Lindi. Lindi iko mdomoni wa mto Lukuledi takriban 150 km kaskazini ya Mtwara mwambaoni wa Bahari Hindi. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 [1]
Lindi ilikuwa kati ya miji ya Waswahili kwenye pwani la bahari. Mdomo wa Lukuledi ilikuwa bandari nzuri kwa ajili ya jahazi za Waswahili na pia kwa meli ndogo za zamani za ukoloni. Siku hizi haitoshi tena kwa meli kubwa.
Wakati wa ukoloni wa Wajerumani ilikuwa makao makuu ya kusini-mashariki ya Tanzania bara. Ilikuwa kituo cha Posta na pia cha kikosi na. 3 cha jeshi la Kijerumani. Ilibaki kitovu cha eneo chini ya Waingereza hadi kujengwa kwa bandari ya Mtawara. Mazao ya kibiashara yalikuwa hasa katani baadaye pia korosho.
Maendeleo ya Lindi ilikwama kutokana na hali mbaya za barabara amabazo hazikutunzwa vizuri wakati wa uhuru. Kuna matumaini ya kwamba mipango ya barabara ya lami ya Dar es Salaam - Mtwara itandelea baada ya kukamilika kwa daraja la mto Rufiji.
Marejeo
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lindi (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
Kata za Wilaya ya Lindi Mjini - Tanzania | ||
---|---|---|
Chikonji | Jamhuri | Kilangala | Kilolambwani | Kitomanga | Kitumbikwela | Kiwawa | Makonde | Matimba | Matopeni | Mbanja | Mchinga | Mikumbi | Milola | Mingoyo | Mipingo | Mitandi | Mnazimmoja | Msinjahili | Mtanda | Mvuleni | Mwenge | Nachingwea | Nangaru | Ndoro | Ng'apa | Rahaleo | Rasbura | Rutamba | Tandangongoro | Wailes |