Sani Abacha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
mbegu-mwanasiasa
d picha ilifutwa
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Sani Abacha.jpg|thumb|right|180px|Sani Abacha]]

'''Jenerali Sani Abacha''' ([[20 Septemba]], [[1943]] – [[8 Juni]], [[1998]]) alikuwa kiongozi wa kijeshi wa [[Nigeria]], pia alikuwa mwanasiasa. Kuanzia [[mwaka]] wa [[1993]] hadi kifo chake mwaka wa [[1998]] alikuwa Rais wa kumi wa nchi ya [[Nigeria]].

Mstari 12: Mstari 10:
==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==
*[http://news.bbc.co.uk/1/hi/special_report/1998/06/98/nigeria/109265.stm Makala kuhusu Abacha katika BBC]
*[http://news.bbc.co.uk/1/hi/special_report/1998/06/98/nigeria/109265.stm Makala kuhusu Abacha katika BBC]

{{mbegu-mwanasiasa}}
{{mbegu-mwanasiasa}}

Pitio la 22:22, 15 Agosti 2009

Jenerali Sani Abacha (20 Septemba, 19438 Juni, 1998) alikuwa kiongozi wa kijeshi wa Nigeria, pia alikuwa mwanasiasa. Kuanzia mwaka wa 1993 hadi kifo chake mwaka wa 1998 alikuwa Rais wa kumi wa nchi ya Nigeria.

Maisha

Abacha alizaliwa mjini Kano tar. 20 Septemba mwaka 1943.

Urais

Abacha alitanguliwa na Rais Ernest Shonekan.
Kama Rais, Abacha alifahamika sana kwa udikteta. Baada ya kifo cha Abacha, akakamata madaraka Abdulsalami Abubakar aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sani Abacha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.