Mtumiaji:Baba Tabita : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabila ya Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].

Kati ya Aprili 2006 na Desemba 2007, nimetoa michango zaidi ya elfu kumi na tano (15,000). Bahati mbaya sikuweza kuendelea na mwendo huohuo.
Hadi mwezi wa Desemba 2007, nimetoa michango zaidi ya elfu kumi na tano (15,000). Agosti 2009 nimefikisha michango [http://toolserver.org/~purodha/sample/dbswithuser.php?usr=Baba_Tabita&go=Go!&uselang=en 20,000].

Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia hii mwezi wa pili 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!

Pitio la 18:30, 14 Agosti 2009

Lugha
de Dieser Benutzer spricht Deutsch als Muttersprache.
en-4 This user speaks English at a near-native level.
sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
nl-1 Deze gebruiker bezit elementaire kennis van het Nederlands.
fr-1 Cet utilisateur peut contribuer avec un niveau élémentaire de français.
Mtumiaji huyu ni Mkabidhi katika Wikipedia ya Kiswahili. (hakikisha)
Bureaucrat Mtumiaji huyu ni Bureaucrat katika Wikipedia ya Kiswahili.

Ingawa jina langu rasmi ni Oliver Stegen, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.

Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.

Hadi mwezi wa Desemba 2007, nimetoa michango zaidi ya elfu kumi na tano (15,000). Agosti 2009 nimefikisha michango 20,000.