Kwanza (sarafu) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: ast:Kwanza
Mstari 14: Mstari 14:
[[Category:Angola]]
[[Category:Angola]]


[[ast:Kwanza]]
[[ca:Kwanza]]
[[ca:Kwanza]]
[[de:Kwanza]]
[[de:Kwanza]]

Pitio la 23:39, 1 Januari 2007

Makala hii yahusu pesa ya Angola. Kuhusu mto Kwanza angalia Kwanza (mto).

Kwanza (kifupi: KZ) ni fedha inayotumika kwa malipo halali katika nchi ya Angola. Wakati wa uhuru Angloa imerithi pesa ya escudo kutoka Ureno. Mwaka 1977 Kwanza yenye 100 Lwei imeingizwa nchini kama pesa ya kwanza ya kitaifa. Kutokana na kushuka kwa thamani ya fedha mara kwa mara pesa ya Kwanza imebadilishwa mara nne tangu 1977:

  • 1977 Kwanza
  • 1977 Kwanza Novo (Kwanza Mpya)
  • 1995 Kwanza Reajustado (Kwanza iliyosahihishwa)
  • 1999 Kwanza (Kwanza Reajustado milioni moja zilibadilishwa kuwa Kwanza 1 mpya)

Sarafu za centavos 10 na 50 hazipatikani kwani hazinunui kitu tena.