Charles-Albert Gobat : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani|G]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani|G]]


[[en:Charles-Albert Gobat]]
[[en:Charles Albert Gobat]]

Pitio la 21:19, 23 Desemba 2006

Charles-Albert Gobat (21 Mei, 183416 Machi, 1914) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Uswisi. Pia alikuwa mkurugenzi wa Ofisi ya Amani ya Kimataifa. Mwaka wa 1902, pamoja na Elie Ducommun alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.