Earth Song : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Single | Jina = Earth Song | Cover = Earth Song cover.jpg | Msanii = Michael Jackson | Albamu = [[HIStory: Past, Present and Future,...'
 
d roboti Nyongeza: fr:Earth Song
Mstari 119: Mstari 119:


{{mbegu-muziki}}
{{mbegu-muziki}}



[[az:Earth Song]]
[[az:Earth Song]]
Mstari 126: Mstari 125:
[[es:Earth Song]]
[[es:Earth Song]]
[[fa:ترانه زمین]]
[[fa:ترانه زمین]]
[[fr:Earth Song]]
[[it:Earth Song]]
[[it:Earth Song]]
[[nl:Earth Song]]
[[ja:アース・ソング]]
[[ja:アース・ソング]]
[[nl:Earth Song]]
[[pl:Earth Song]]
[[pl:Earth Song]]
[[pt:Earth Song]]
[[pt:Earth Song]]

Pitio la 16:34, 1 Agosti 2009

“Earth Song”
“Earth Song” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya HIStory: Past, Present and Future, Book I
Imetolewa Novemba 27, 1995 (1995-11-27)
Muundo CD single
Imerekodiwa 1995
Aina Blues, gospel, opera
Urefu 6:46 (toleo la albamu)
4:58 (uharirio wa redio)
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
David Foster
Bill Bottrell
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"You Are Not Alone"
(1995)
"Earth Song"
(1995)
"They Don't Care About Us"
(1995)

"Earth Song" ni single ya tatu ya Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya tisa ya HIStory: Past, Present and Future, Book I. Ni muziki wa ballad ulitumbukiziwa na elementi za muziki wa blues, gospel na opera. Jackson ana historia ndefu ya kutoa nyimbo zenyekuhusiana na masuala ya kijamii. Nyimbo hizo ni pamoja na "We Are the World", "Man in the Mirror" na "Heal the World". Hata hivyo, "Earth Song" ndiyo wimbo wa kwanza uliohusu sana na masuala ya mazingira na haki za wanyama. Wimbo huu ulitungwa na kuandaliwa na Jackson; katika suala zima la utayarishaji wa kazi hii iligawiwa kati ya Jackson, David Foster na Bill Bottrell.

Chati

Chati (1995) Nafasi
Iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart[1] 15
Austrian Singles Chart[1] 2
Belgian (Flanders) Singles Chart[1] 4
Belgian (Wallonia) Singles Chart[1] 2
Dutch Singles Chart[1] 3
Eurochart Hot 100 Singles[2] 55
Finnish Singles Chart[1] 8
French Singles Chart[1] 2
Italian Singles Chart[1] 15
New Zealand RIANZ Singles Chart[1] 4
Norwegian Singles Chart[1] 4
Spanish Singles Chart[1] 1
Swedish Singles Chart[1] 4
Swiss Singles Chart 1[3]
UK Singles Chart[1] 1
U.S. Billboard Hot Dance Music/Club Play[4] 32
Chati (2009) Nafasi
Iliyoshika
Danish Singles Chart[1] 32
Swiss Singles Chart 4[3]
UK Singles Chart 33[5]

Matunukio

Nchi Matunukio Mauzo
Ujerumani 2X Platin 1,000,000 [6]
Switzerland Platin 50,000 [7]


Tanbihi

  1. 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 1.11 1.12 1.13 M. Jackson - Earth Song (nummer). www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo November 09, 2008.
  2. European Hot 100 Singles - Earth Song - Michael Jackson. Billboard. Nielsen Business Media. Iliwekwa mnamo December 05, 2008.
  3. 3.0 3.1 Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo July 18, 2009.
  4. Artist Chart History - Michael Jackson. Billboard. Nielsen Business Media. Iliwekwa mnamo November 11, 2008.
  5. UK Singles Chart. The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 July 2009.
  6. Bundesverband Musikindustrie
  7. [1]

Marejeo



Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Earth Song kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.