Arno Penzias : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: left|80px '''Arno Allan Penzias''' (amezaliwa 26 Aprili, 1933) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Ujerumani. Hasa alic...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:52, 20 Desemba 2006

Arno Allan Penzias (amezaliwa 26 Aprili, 1933) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Ujerumani. Hasa alichunguza mnururisho wa nyota. Mwaka wa 1978, pamoja na Robert Woodrow Wilson na Pyotr Kapitsa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.