Jamhuri ya Bou Regreg : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d - sw
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Jamhuri ya Bou Regreg''' ilikuwa dola ndogo katika eneo la miji Rabat na Sale mdomoni wa mto [[Bou Regreg]] lililoanzishwa mwaka 1627.
'''Jamhuri ya Bou Regreg''' ilikuwa dola ndogo katika eneo la miji [[Rabat]] na [[Sale]] mdomoni wa mto [[Bou Regreg]] lililoanzishwa mwaka [[1627]].
Watwala walikuwa ma[[haramia]] waliounda serikali baada ya mwisho wa utawala wa ufalme wa [[Wasaadi]].
Watawala walikuwa ma[[haramia]] waliounda serikali baada ya mwisho wa utawala wa ufalme wa [[Wasaadi]].


Halmashauri ya wawakilishi iliwateua nahodha mkuu kwa ajili ya jahazi za haramia na pia magavana wa Rabat na Sale. Maharamia walishambulia hasa jahazi za nchi za Wakristo. Miji yote miwili ikatajirika na majengo mengi ya kitovu cha kihistoria ya Rabat yalijengwa wakati ule.
Halmashauri ya wawakilishi ilimteua nahodha mkuu wa jahazi za haramia na pia magavana wa Rabat na Sale. Maharamia walishambulia hasa jahazi za nchi za Wakristo. Miji yote miwili ikatajirika. Majengo mengi ya kitovu cha kihistoria ya Rabat yalijengwa wakati ule.
Mwaka 1668 wenyeji walipaswa kukubali utawala wa wafalme [[Waalawi]] lakini hali halisi waliendelea kujitegemea hadi mwaka 1818.
Mwaka [[1668]] wenyeji walipaswa kukubali utawala wa wafalme [[Waalawi]] lakini hali halisi waliendelea kujitegemea hadi mwaka 1818.


[[Category:Historia ya Moroko]]
[[Category:Historia ya Moroko]]

Pitio la 07:21, 20 Desemba 2006

Jamhuri ya Bou Regreg ilikuwa dola ndogo katika eneo la miji Rabat na Sale mdomoni wa mto Bou Regreg lililoanzishwa mwaka 1627. Watawala walikuwa maharamia waliounda serikali baada ya mwisho wa utawala wa ufalme wa Wasaadi.

Halmashauri ya wawakilishi ilimteua nahodha mkuu wa jahazi za haramia na pia magavana wa Rabat na Sale. Maharamia walishambulia hasa jahazi za nchi za Wakristo. Miji yote miwili ikatajirika. Majengo mengi ya kitovu cha kihistoria ya Rabat yalijengwa wakati ule. Mwaka 1668 wenyeji walipaswa kukubali utawala wa wafalme Waalawi lakini hali halisi waliendelea kujitegemea hadi mwaka 1818.