Lugha za Kisemiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ku:Zimanên semîtîk
Mstari 53: Mstari 53:
[[kab:Tutlayin tisamiyin]]
[[kab:Tutlayin tisamiyin]]
[[ko:셈어파]]
[[ko:셈어파]]
[[ku:Zimanên Semîtîk]]
[[ku:Zimanên semîtîk]]
[[kw:Yethow Semitek]]
[[kw:Yethow Semitek]]
[[la:Linguae Semiticae]]
[[la:Linguae Semiticae]]

Pitio la 04:21, 21 Julai 2009

Maneneo penye wasemaji wengi wa lugha za Kisemiti

Lugha za Kisemiti ni kundi ya lugha zinazozungumzwa na watu milioni 300 katika Asia ya Magharibi, Afrika ya Kaskazini na Afrika ya Mashariki. Zahesabiwa kama tawi la lugha za Kiafrika-Kiasia.

Lugha za Kisemiti leo

Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wako hasa Ethiopia na Eritrea halafu Israel. Lugha hai za kisemiti ni pamoja na:

Lugha za kihistoria

Kuna idadi kubwa ya lugha za Kisemiti zinazojulikana kama lugha za kihistoria zisizo na wasemaji tena. Kati ya lugha hizi ni lugha za Babeli, Ashur, Kanaan, Moabu na kwa jumla lugha za mataifa mengi zinazotajwa katika Biblia.