Songea (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ja:ソンゲア
infobox marejeo
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox Settlement
'''Songea''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Ruvuma]]. Eneo la mji ni [[wilaya ya Songea Mjini]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 131,336 [http://www.tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban.htm].
|jina_rasmi = Jiji la Songea
|picha_ya_satelite =
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Tanzania]]
|subdivision_type1 = [[:Jamii:Mikoa ya Tanzania|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]]
|subdivision_type2 = [[Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Songea Mjini|Songea Mjini]]
|wakazi_kwa_ujumla =
|website =

}}
'''Songea''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Ruvuma]]. Eneo la mji ni [[wilaya ya Songea Mjini]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 131,336 <ref>[http://www.tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban.htm Tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban]</ref>.


Kuna barabara ya lami kutoka Songea kupitia [[Njombe]] hadi barabara kuu ya [[Dar es Salaam]] - [[Mbeya]]. Barabara ya kwenda pwani kupitia [[Tunduru]] na [[Masasi]] ni mbaya mara nyingi haipitiki wakati wa mvua.
Kuna barabara ya lami kutoka Songea kupitia [[Njombe]] hadi barabara kuu ya [[Dar es Salaam]] - [[Mbeya]]. Barabara ya kwenda pwani kupitia [[Tunduru]] na [[Masasi]] ni mbaya mara nyingi haipitiki wakati wa mvua.
Mstari 15: Mstari 29:
Songea ikaendelea kuwa makao makuu ya mkoa wakati wa uatwala wa Uingereza katika [[Tanganyika]] na baada ya uhuru katika Tanzania huria.
Songea ikaendelea kuwa makao makuu ya mkoa wakati wa uatwala wa Uingereza katika [[Tanganyika]] na baada ya uhuru katika Tanzania huria.


==Marejeo==
{{Tanzania-geo-stub}}
{{marejeo}}


{{Tanzania-geo-stub}}


{{Kata za Wilaya ya Songea Mjini}}
{{Kata za Wilaya ya Songea Mjini}}
Mstari 22: Mstari 38:


[[Category:Miji ya Tanzania]]
[[Category:Miji ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Ruvuma]]


[[da:Songea]]
[[da:Songea]]

Pitio la 22:53, 20 Julai 2009


Jiji la Songea
Nchi Tanzania
Mkoa Ruvuma
Wilaya Songea Mjini

Songea ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Ruvuma. Eneo la mji ni wilaya ya Songea Mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 131,336 [1].

Kuna barabara ya lami kutoka Songea kupitia Njombe hadi barabara kuu ya Dar es Salaam - Mbeya. Barabara ya kwenda pwani kupitia Tunduru na Masasi ni mbaya mara nyingi haipitiki wakati wa mvua.

Jiografia

Mji uko kwenye kimo cha m 1210 juu ya UB katika nchi ya Ungoni kwenye nyanda za juu za kusini za Tanzania. Chanzo cha mto Ruvuma kipo karibu na mji.

Historia

Jina la Songea ni kumbukumbu ya chifu Songea wa Wangoni aliyekuwa na ikulu yake hapa wakati wa kuenea kwa ukoloni wa Ujerumani akauawa na Wajerumani wa kati wa vita ya majimaji.

Mji wa Songea (iliyoandikwa Ssongea wakati ule) ulianzishwa mwaka 1897 kama kituo cha kijeshi cha Kijerumani. Ukakua kuwa makao makuu ya utawala wa mkoa Songea wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani.

Mazingira ya mji yaliathiriwa vibaya na vita ya majimaji na ukandamizaji wake na Wajerumani.

Songea ikaendelea kuwa makao makuu ya mkoa wakati wa uatwala wa Uingereza katika Tanganyika na baada ya uhuru katika Tanzania huria.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Songea Mjini - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania

Bombambili | Lilambo | Lizaboni | Majengo | Matarawe | Mateka | Matogoro | Mfaranyaki | Misufini | Mjimwema | Mletele | Msamala | Mshangano | Mwengemshindo | Ndilimalitembo | Ruhuwiko | Ruvuma | Seedfarm | Songea Mjini | Subira | Tanga