Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:


==Maisha==
==Maisha==
Yosafat Kuntsevych (kwa [[Kibelarus]] Язафат Кунцэвіч, ''Jazafat Kuncevič'') alizaliwa [[Wlodzimierz Wolynski]] katika mkoa wa [[Volinia]] (uliokuwa sehemu ya [[Lithuania]]) mwaka 1580 au 1584 katika familia ya [[Waorthodoksi]] akaitwa Yohane katika [[ubatizo]].
Yosafat Kuntsevych (kwa [[Kibelarus]] Язафат Кунцэвіч, ''Jazafat Kuncevič'') alizaliwa [[Wlodzimierz Wolynski]] katika mkoa wa [[Volinia]] (ulikuwa sehemu ya [[Lithuania]], leo ni ya [[Ukraina]]) mwaka 1580 au 1584 katika familia ya [[Waorthodoksi]] akaitwa Yohane katika [[ubatizo]].


Baada ya kusoma [[Vilnius]] ([[Lithuania]]), mwaka [[1604]] alijiunga na [[Wakatoliki wa mashariki]] waliokubali mapatano ya [[muungano wa Brest]] yaliyoanzisha [[Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine]]. Akajiunga na [[wamonaki]] wa mtakatifu [[Basili Mkuu]] kwa jina la Yosafat.
Baada ya kusoma [[Vilnius]] ([[Lithuania]]), mwaka [[1604]] alijiunga na [[Wakatoliki wa mashariki]] waliokubali mapatano ya [[muungano wa Brest]] yaliyoanzisha [[Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine]]. Akajiunga na [[wamonaki]] wa mtakatifu [[Basili Mkuu]] kwa jina la Yosafat.
Mstari 25: Mstari 25:
[[Jamii:Wafiadini Wakatoliki]]
[[Jamii:Wafiadini Wakatoliki]]
[[Category:Watakatifu wa Belarus]]
[[Category:Watakatifu wa Belarus]]
[[Jamii:Watakatifu wa Ukraine]]
[[Category:Waliozaliwa 1580]]
[[Category:Waliozaliwa 1580]]
[[Category:Waliofariki 1623]]
[[Category:Waliofariki 1623]]


{{mbegu-mtu}}
{{mbegu-Mkristo}}


[[be:Іасафат Кунцэвіч]]
[[be:Іасафат Кунцэвіч]]

Pitio la 04:34, 19 Julai 2009

Mtakatifu Yosafat wa Polotsk (1580 hivi – 1623) alikuwa askofu wa Polotsk (leo nchini Belarus). Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 12 Novemba.

Maisha

Yosafat Kuntsevych (kwa Kibelarus Язафат Кунцэвіч, Jazafat Kuncevič) alizaliwa Wlodzimierz Wolynski katika mkoa wa Volinia (ulikuwa sehemu ya Lithuania, leo ni ya Ukraina) mwaka 1580 au 1584 katika familia ya Waorthodoksi akaitwa Yohane katika ubatizo.

Baada ya kusoma Vilnius (Lithuania), mwaka 1604 alijiunga na Wakatoliki wa mashariki waliokubali mapatano ya muungano wa Brest yaliyoanzisha Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine. Akajiunga na wamonaki wa mtakatifu Basili Mkuu kwa jina la Yosafat.

Alipata upadri, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa liturgia ya Kiorthodoksi na pia umoja na Kanisa Katoliki kwa jumla.

Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi huo wa pekee wa kanisa lake hadi mwaka 1623 alipouawa na Waorthodoksi waliopinga umoja huo.

Viungo vya nje

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.